Wanafki wanapokutana

Wanafki wanapokutana

Kweli hawa wanafiki
Leo nilikuwa nawatazama Citizen Tv
wamekaa kishari mno.
 
Wote Wanafiki tu hao Nchi hii ndio imewasaidia kwa hali na mali kushika hatamu ya uongozi wa nchi zao leo wanajifanya kuisusia Bandari iliowalea Nyambaf kabisa
 
Watanzania tuache kulalamika..kenyatta is doing bussness kwa kujua kua rwanda,burundi.s.sudan na uganda ni land locked countries ndo maana kawakaribisha hao maraisi haiwezekani atualike tanzania kwenda kuzindua bandari kenya wakati zakwetu zimetushinda..we have to undrstnd n keep in our minds tht in terms of ports here in east africa kenya ni washndan wetu so thy r right to do wht thy r doing as far as thy r doing busness na ssi tutafte njia ya kuwashawishi hawa watakuja tu.tuache kulalamika..
 
unaupeo mdogo sana wa kuchambua mambo au ndio zile ziro za mlugo?t
 
KAGAME.jpeg

kwa nini wanasema hivyo!!!!!!!!!
 
Endelea kuisikitikia wakati wenzenu wamethubutu na wameweza nyie endeleeni kupiga majungu
 
Sitaki kuamini kuwa kuna Watanzania wanapendezwa na muendendo wa hawa Marais hapa EAC.
 
unaupeo mdogo sana wa kuchambua mambo au ndio zile ziro za mlugo?t

Huna la ziada kwa sababu akili zako zipo kimlugomlungo..anyways the bestway to argue with a fool like you is to keep quite..
 
Hao sio wanafiki wewe! Hao ni Wanaume wa matendo. Men in action.

Hao ni wanafiki tu ,urafiki wao umeanzia baada ya kuona nao wakajikuta The Hague,na ndio maana kule Addis Ababa M7 na PK walitoa mapovu kujidai wanamtetea mpwa wao kitukuu cha Chief Kaberega,UK.Hao wote wana asili moja,pia alipokuja Obama nao wakajifanya wana kamukutano kao pale Rwanda,hiihali mi naifurahia sana Jumuia ya Afrika Mashariki inazidi kuota mbawa,Tanzania wakati wote ipo SADC,hao madikiteta ndugu waacheni na hamsini zao,kuwazungumzia ni kupoteza muda buure,tuendelee kujadili mambo ya tija kwa Tanzania yetu
 
unaupeo mdogo sana wa kuchambua mambo au ndio zile ziro za mlugo?t

Wewe unayejua zaidi si utoe maelezo yanayojitosheleza?Una anza na majungu badala ya kutoa maoni yenye tija!Kenyatta anafanya biashara hapo.Sisi tutabaki tu na siasa na ukiritimba wetu hapo Dar port!
 
Back
Top Bottom