hao ni wahalifu wa mazingira, wamevaa kama yaya (nurses), badala ya kuhifadhi mazingira wanaloanisha ukuta kwa ku-pee kume, halafu zile homoni zitokanazo na matumizi ya vidonge vya kuepuka mimba kwa akina dada/mama wengi siku hizi zinaingia kwenye mifumo yatu ya ki-ekolojia kiuraini, halafu baadae nasisi wanaume kwisha kazi.......
The P-Mate is a Portable Urinating Device that offers Women the freedom to pee standing up. It's clean, leak-proof and is made from recycled materials. In the emergency situations, you have to place the large opening of the P-Mate under the flow area between your legs. Pee like a man and then discard it.
yaani hao hawawezi kukojoa asilani maana watachafuka kwa kujikojolea na kunuka
Mtoto ni wa Kiswahili Bw mpaka aingie na maji na kujiswafi
hao wanaonyesha namna gani watu wanachafua Mazingira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.