Wanafanana kwa lipi?

Wanafanana kwa lipi?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi.
Karibu.




 
Kwa kwenda msikitini; kupenda uongozi bila kuwa na uwezo, kupendwa mwanzo na kuchukiwa na wananchi wao mwishoni, kuongoza nhci ki-sultani.
 
Kwa ulimbukeni wa kutokusoma alama za nyakati na kuuwa raia wasio na hatia.
 
Ni wapenda kutawala hata kwa kuiba kura na kumwaga damu.
 
Majambazi ya kisiasa. Wakati mwenzie ndo anang'oka JK nae hajui tutaamkaje kesho Watanzania!
 
Wanapenda kuvaa viatu vyeusi tehe teh!!!
 
Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia
 
Lao moja ni kama wanapanga mikakati ya kivyama kuhujumu wananchi.
 
Kujihisi wanapendwa na kukubalika kwa wananchi wao kumbe si hivyo hata kidogo
 
Wa kulia walau nchi yake kaiendeleza mwenzio ni sifuri
 
Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia

Huyu Sultani wetu alikweda Misri kwa Mubarak kujifunza jinsi ya kumuandaa mwanae [ Ridh....] aje kuwa mrithi wake atakapoondoka!! Inaelekea masomo aliyoyapata muungwana huko yanaweza kumfikisha pabaya kama alivyofikishwa mwalimu wake huko Misri!!
 
Back
Top Bottom