Wanafamilia tusaidiane tunapoweza

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
31
Jamani wanafamilia wa JF mimi mwenzenu nimehitimu chuo mwaka jana mwezi wa 6. Nimezunguka na bahasha mpaka hivi leo sijabahatika kupata kazi wala kibarua. Nimetembea mpaka viatu vimeisha soli. Humu JF najua kuna watu wenye positions zao na pia wenye ofisi zao au miradi inayohitaji wafanyakazi na naamini kabisa watalisoma tangazo langu. Naomba kama kuna atakayeweza kunisaidia anisaidie jamani nimeshakata tamaa ya maisha. Nimesoma utawala na jamii. Mungu awabariki sana ndugu zangu.
 
mkuu unaonaje tukijioganaiz tukasepa zetu mwanza tukalime mpunga na dengu?... aisee haya mazao yana pesa aisee!

gharama ya kukodi mashamba ni fair sana, cheap labour ipo,

kilimo cha dengu pia kinalipa sana, bei ya gunia ni very profitable!

gunia moja la mchele linafika elfu 90 na kuendelea kaika maeneo mbali mbali ya nchi hii, endapo tukikomalia kilimo cha kisasa, tunaweza kutoka kweli mkuu, japo kilimo kinatoa jasho sana, lakini kina pesa nyingi endapo kitachukuliwa serious!

mkuu, gunia mia moja tu kwa msimu mmmoja wa mavuno, una uwezo wa kukulipa mshahara wa miaka hata miwili hivi endapo tukitumia mechanisms za kisayansi kulima.

nimeshawasiliana na FAYS TRADING ILIYOKO DENMARK KAMA SIJAKOSEA, WAKANIAMBIA BEI YA TREKTA AMBAYO NI ALMOST MILIONI 34, JEMBE 8, MASSEY FERGUSON OR FORD. MKUU JIPANGE!

IMAGINE PER HARVEST UKAPATA TANI 100, UKAZIUZA, PROFIT YAKE ITAKUWAJE? (KWA MPUNGA!)

NB: haya ni mawazo tu, wala silazimishi ufuate mkuu. white collar jobs sometimes zinakera!
 
Mkuu mi nakuomba ufikirie ushauri wa comrade Excel hapo na utaona mabadiliko makubwa sn hope una ka elimu kadogo about entrepreneurship usikate tamaa, komaa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaonaje tukijioganaiz tukasepa zetu mwanza tukalime mpunga na dengu?... aisee haya mazao yana pesa aisee!

gharama ya kukodi mashamba ni fair sana, cheap labour ipo,

kilimo cha dengu pia kinalipa sana, bei ya gunia ni very profitable!

hebu fikiria kama ungeajiriwa, hiyo pesa ungeipata baada ya muda gani?

Amang'ana mura Excel.
 
Last edited by a moderator:
wazo lako ni zuri sana mkuu Excel lakini kama sina hata senti mfukoni naanzia wapi? unadhan ningekuwa na mtaji ningesumbuka? shida ni starting point. ulishawahi kuona mwajiriwa tajiri? biashara na kilimo ndo zinawatoa watu.
 
mkuu excel mwanza unaenda lima sehem gani unajua bei ya kukodisha mashamba.
 
mkuu unaonaje tukijioganaiz tukasepa zetu mwanza tukalime mpunga na dengu?... aisee haya mazao yana pesa aisee!

gharama ya kukodi mashamba ni fair sana, cheap labour ipo,

kilimo cha dengu pia kinalipa sana, bei ya gunia ni very profitable!

gunia moja la mchele linafika elfu 90 na kuendelea kaika maeneo mbali mbali ya nchi hii, endapo tukikomalia kilimo cha kisasa, tunaweza kutoka kweli mkuu, japo kilimo kinatoa jasho sana, lakini kina pesa nyingi endapo kitachukuliwa serious!

mkuu, gunia mia moja tu kwa msimu mmmoja wa mavuno, una uwezo wa kukulipa mshahara wa miaka hata miwili hivi endapo tukitumia mechanisms za kisayansi kulima.

nimeshawasiliana na FAYS TRADING ILIYOKO DENMARK KAMA SIJAKOSEA, WAKANIAMBIA BEI YA TREKTA AMBAYO NI ALMOST MILIONI 34, JEMBE 8, MASSEY FERGUSON OR FORD. MKUU JIPANGE!

IMAGINE PER HARVEST UKAPATA TANI 100, UKAZIUZA, PROFIT YAKE ITAKUWAJE? (KWA MPUNGA!)

NB: haya ni mawazo tu, wala silazimishi ufuate mkuu. white collar jobs sometimes zinakera!

Mtaji anao?

Maana jamaa katika shule huyu
 
labda anao maana kajielezea vizuri sana atutoe na sisi vijana wenzie.
 
Back
Top Bottom