stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,020
- 4,369
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.
Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika
Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.
Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.