Ukiwa mwanadamu umeumbiwa nafsi yenye kutamani mambo yote yanayo ufurahisha moyo haijalishi imani yako inakuongoza kuwa ni halali au haramu kitu cha msingi ni ujifunze kuitawala nafsi yako ikae kwenye utu.
Ukikubali kuoa au kuolewa tulia pambana na ndoa yako acha tamaa ikiwa ni mali tafuta kwa njia sahihi na halali ukikwazwa tafuta mbinu za sawa kujikwamua si kufata tu nafsi yako inavyotaka utapotea njia