Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Is what East Africa Redio broadcasted HEARSAY or TRUE ? .....

Miss Chaga
Sky Eclat
Heaven sent
Patience
Aishah
Valentina
Atoto ........ nk

Njooni huku mtujuze
 
Is what East Africa Redio broadcasted HEARSAY or TRUE ? .....

Miss Chaga
Sky Eclat
Heaven sent
Patience
Aishah
Valentina
Atoto ........ nk

Njooni huku mtujuze
Ni ukweli mtupu! Wengi tumefanya hivyo kwa ajili ya kujiwekea nafasi nzuri kwa boyfriend zetu japo mwisho wa siku pengine hawakua wetu na sasa unafanya maisha na wengine, hili jambo lipo halikwepeki kwa sasa
 
Ni ukweli mtupu! Wengi tumefanya hivyo kwa ajili ya kujiwekea nafasi nzuri kwa boyfriend zetu japo mwisho wa siku pengine hawakua wetu na sasa tupo kwenye maisha na wengine
Yaan watengeneza "mazingira mazuri" afu mtarajiwa mwenyewe "anasepa" ..... some guys aren't considerate ..... by the way poleni
 
Sidhani kama ni kweli kwa sababu kinamchomuweka mwanafunzi chuoni ni kufaulu vizuri course work, sasa kama haendi darasani ambako kunatolewa assignments na tests ambazo pia zinakuwa counted kwenye course work atafaulu vipi, labda kama hicho chuo kina mfumo tofauti wa kuwa assess wanafunzi.
 
Chuo kuhudhuria lecture sio guarantee ya kufaulu, zinduka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…