Wanachotakiwa kujua wakina Mbatia & Co ni kuwa CHADEMA-asilia walimpigia kura Magufuli!

Bahati mbaya mara tu Lowasa alipojiunga CHADEMA, chama hiki kiligawanyika pande mbili - CHADEMA- Asilia na CHADEMA- Lowasa. Kile cha Lowasa kiko mikoa ya Arusha na Kilimanjaro tu. Kile asilia kimeendelea katika mikoa mingine kama ilivyokuwa awali. Katika majimbo ya mikoa ya CHADEMA-Asilia kura za uraisi walimpigia zaidi Magufuli lakini kura za ubunge na udiwani waliwapigia zaidi wana CHADEMA wenzao.

Hii ndiyo imetoa tofauti inayolalamikiwa na akina Kubenea, Mbatia & Co. Mambo haya wameyasababisha wenyewe na wasilaamu mwingine.

Mkuu up sahihi kabisa me pia CDM asili na nilifanya hivyo
 
Enyi wana ukawa kubalianeni yakua mlitaka vya kunyongwa!!!! Mlimwona Dr slaa kama hafai vile sasa mwamkumbuka angalien msituletee mzaha kwa Amani ya tanzania
 
ujinga mtupu
Bahati mbaya mara tu Lowasa alipojiunga CHADEMA, chama hiki kiligawanyika pande mbili - CHADEMA- Asilia na CHADEMA- Lowasa. Kile cha Lowasa kiko mikoa ya Arusha na Kilimanjaro tu. Kile asilia kimeendelea katika mikoa mingine kama ilivyokuwa awali. Katika majimbo ya mikoa ya CHADEMA-Asilia kura za uraisi walimpigia zaidi Magufuli lakini kura za ubunge na udiwani waliwapigia zaidi wana CHADEMA wenzao.

Hii ndiyo imetoa tofauti inayolalamikiwa na akina Kubenea, Mbatia & Co. Mambo haya wameyasababisha wenyewe na wasilaamu mwingine.
 
Nani kakuuliza? Maoni yako wapelekee kina sisiem labda wao wanayahitaji
 
Kijana jitambue wakati wa mabadiliko kifikra ndo huu. Anayekwambia kura zimeibiwa atoe japo ushahidi wa jimbo moja tu la uchaguzi ambalo kura zake ni tofauti na za NEC. Kumbuka kila kituo cha kupigia kura kulikuwa na form maalumu iliyojazwa na mawakala na kusainiwa na wao, kuthibitisha uhalali wa kura za hapo. Bila ya hilo ni ulaghai mtupu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Ushahidi upo mwingi mfano ni huo hapo juu wa bumbuli...usitake kulazimisha watu waamini matokeo kwa matanwa yenu..chama dola kimechakachua, ushahidi tutaupeleka kunakostahili..tuwaonyeshe wote mpate kujipanga! Sisi sio mazuzu kihuvyo..tukutane mbele
 
kubishana na wanaccm nisawa nakupaka rangi upepo yaani ni watu wanaojua hiki si sawa lakini kwa ujinga wao na kuongozwa na uwendawazi, wanalazimisha kuwa kweli,tunawatizama tu sijui aibu zenu mtakuja kuzificha wapi
 
Mfano mmoja tu..bumbuli. january alipigiwa kura 20,000 na ushee...magufuli kapigiwa kura 40,000 na ushee. Hiyo ziada ya 20,000 imetokea wapi? Au ndio hao chadema asilia?

Anyway..mimi nimeishia kukubali. Nitamuombea magufuli mafanikio aweze kuleta hayo mabadiliko ya kweli anayosema. Ila kwakweli bado nina hofu kwamba hiyo haitawezekana ndani ya ccm. Lakini nitamuombea mafanikio maana akifanikiwa wote tumefanikiwa. Ila kwakweli mambo ya kusimama juani masaa 6 eti kupiga kura..sioni nikirudia.
Acha uongo. Weka fomu ya NEC hapa.
 
OK, sasa ugumu uko wapi hapa, UKAWA wanasema tunayo matokeo ya majimbo ambayo yameletwa na mawakala na ni tofauti na yale Tume inayotangaza, Kwa nini kwa kuondoa utata, TUME isizikague form za matokeo za UKAWA kwa pamoja na walalamikaji wakajiridhisha na zile za kwao badala ya kung'ang'ania kuwa ni wapotoshaji. TANZANIA tuna matatizo gani lkn? kitu kidogo tu tunashindwa kukifanya hayo makubwa itakuwaje. Inakuwaje tunashindwa kutoa matokeo ya Ubunge ndani ya masaa 24 kama sio kituko duniani

hivi CCM, ACT, CHAUMA na wengine nao wakija na matokeo yao yaliyoletwa na mawakala wao halafu yapo tofauti na yale ya tume unategemea tume itachukua matokeo gani?
 
Na mtu kama Godbless Lema siamini kabisa kwamba kura yake alimpigia lowasa. Siamini, na tuliofanya hivyo tupo wengi.

Mkuu wapo wengi mfano Mnyika halima mdee, na msigwa sidhani kama kura ya urais walimpa lowasa hahahaha.
 
Mkuu wapo wengi mfano Mnyika halima mdee, na msigwa sidhani kama kura ya urais walimpa lowasa hahahaha.

Kama huyu Mnyika kuna uwezekano mkubwa sana kura yake ya urais alimpa Magufuli.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mfano mmoja tu..bumbuli. january alipigiwa kura 20,000 na ushee...magufuli kapigiwa kura 40,000 na ushee. Hiyo ziada ya 20,000 imetokea wapi? Au ndio hao chadema asilia?

Anyway..mimi nimeishia kukubali. Nitamuombea magufuli mafanikio aweze kuleta hayo mabadiliko ya kweli anayosema. Ila kwakweli bado nina hofu kwamba hiyo haitawezekana ndani ya ccm. Lakini nitamuombea mafanikio maana akifanikiwa wote tumefanikiwa. Ila kwakweli mambo ya kusimama juani masaa 6 eti kupiga kura..sioni nikirudia.
Swala kutofautiana kura za rais na mbunge ndio wizi? wewe ni sawa na watu waliolalamika kuwa wamepata kata nyingi ila mbunge kashindwa, watu wamechagua mtu hzo sehemu
 
Kwanza unao wataja hawajalalamika, unawafikiriaje watu ambao wameridhika na matokeo na wale wanaolalamika? Katika sheria mahakama inamsikiliza mtu aliyelalamika tu. Lakini say wote wamelalamika, hiyo ndio nzuri ni rahisi kujua tatizo ni nini kwani form za mawakala zimetolewa na tume na zimesainiwa na wasimamizi na mawakala, sasa kama form za mawakala zote hazina usahii kuanzia signature, matokeo, reference. No, n.k basi uchaguzi huo ni batili maana huwezi kuwa na matokeo ya kituo A wakala wa CCM ana yake CUF ana yake ACT yake n.k
hivi CCM, ACT, CHAUMA na wengine nao wakija na matokeo yao yaliyoletwa na mawakala wao halafu yapo tofauti na yale ya tume unategemea tume itachukua matokeo gani?
 
attachment.php
He he ! au mimi nahitaji miwani, yaani majimbo mawili tofauti yanafanana maotokeo kwa kila chama? Serious, ndiyo unayotetea haya mbona tayari umetuonyesha bao la mkono kijana.Kuwa mwangalifu usijeingia katika mtego wa makosa ya mtandao. Huu ndio ushaidi ndugu, mbona unajiumbua?
 
Mfano mmoja tu..bumbuli. january alipigiwa kura 20,000 na ushee...magufuli kapigiwa kura 40,000 na ushee. Hiyo ziada ya 20,000 imetokea wapi? Au ndio hao chadema asilia?

Anyway..mimi nimeishia kukubali. Nitamuombea magufuli mafanikio aweze kuleta hayo mabadiliko ya kweli anayosema. Ila kwakweli bado nina hofu kwamba hiyo haitawezekana ndani ya ccm. Lakini nitamuombea mafanikio maana akifanikiwa wote tumefanikiwa. Ila kwakweli mambo ya kusimama juani masaa 6 eti kupiga kura..sioni nikirudia.

usiseme wongo tazama vizuri takwimu za tume magufuli kapata 35000
 
Halafu hii dhana ya "mahaba niue" watu walisema ipo ukawa lakini nimegundua imekubuhu ccm. Yani imefika mahali mmekubali kwamba mmeshinda kwa kuiba kura lakini potelea pote aapishwe tu? Eeh Mungu turehemu. Mimi nimekubali..aapishwe tu dikteta wetu tuendelee na maisha.

Kuna ushahidi gani wa kura kuibiwa?
Hiyo bumbuli si kweli
hiyo mahindi si kweli
kwanini ushahidi usiwekwe wazi badala ya kueneza propaganda
 
Ushahidi upo mwingi mfano ni huo hapo juu wa bumbuli...usitake kulazimisha watu waamini matokeo kwa matanwa yenu..chama dola kimechakachua, ushahidi tutaupeleka kunakostahili..tuwaonyeshe wote mpate kujipanga! Sisi sio mazuzu kihuvyo..tukutane mbele
acheni kupika data weka matokeo ya tume hapa
 
Back
Top Bottom