Wanachotakiwa kujua wakina Mbatia & Co ni kuwa CHADEMA-asilia walimpigia kura Magufuli!

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Bahati mbaya mara tu Lowasa alipojiunga CHADEMA, chama hiki kiligawanyika pande mbili - CHADEMA- Asilia na CHADEMA- Lowasa. Kile cha Lowasa kiko mikoa ya Arusha na Kilimanjaro tu. Kile asilia kimeendelea katika mikoa mingine kama ilivyokuwa awali. Katika majimbo ya mikoa ya CHADEMA-Asilia kura za uraisi walimpigia zaidi Magufuli lakini kura za ubunge na udiwani waliwapigia zaidi wana CHADEMA wenzao.

Hii ndiyo imetoa tofauti inayolalamikiwa na akina Kubenea, Mbatia & Co. Mambo haya wameyasababisha wenyewe na wasilaamu mwingine.
 
hata maboksi ya kura yaliyokamatwa kabra ya uchaguzi yalikuwa chadema asilia

We mjinga kweli yamekamatwa wapi au zile tisheti za wasimamizi wa uchaguzi ndiyo mabox ya kura watanzania wanaakili siyo wajinga kama lowasa.
 
hata yale matokeo ya mawakala vituoni ni ya chadema asilia.
 
Bahati mbaya mara tu Lowasa alipojiunga CHADEMA, chama hiki kiligawanyika pande mbili - CHADEMA- Asilia na CHADEMA- Lowasa. Kile cha Lowasa kiko mikoa ya Arusha na Kilimanjaro tu. Kile asilia kimeendelea katika mikoa mingine kama ilivyokuwa awali. Katika majimbo ya mikoa ya CHADEMA-Asilia kura za uraisi walimpigia zaidi Magufuli lakini kura za ubunge na udiwani waliwapigia zaidi wana CHADEMA wenzao.

Hii ndiyo imetoa tofauti inayolalamikiwa na akina Kubenea, Mbatia & Co. Mambo haya wameyasababisha wenyewe na wasilaamu mwingine.

Umejuaje....
 
Ile "ziada" ya kura 20,000 bumbuli walikua chadema asilia waliompigia kura magufuli wakaacha kumpigia kura january
 
kwa mtandao mkubwa alionao white, kupata mabox ya kura na kuaminisha ulimwengu kuwa cc ndo wahusika ni simple sana. asiye na uwezo wa kujua hilo aende akaanze kufanya utafiti.
 
Bahati mbaya mara tu Lowasa alipojiunga CHADEMA, chama hiki kiligawanyika pande mbili - CHADEMA- Asilia na CHADEMA- Lowasa. Kile cha Lowasa kiko mikoa ya Arusha na Kilimanjaro tu. Kile asilia kimeendelea katika mikoa mingine kama ilivyokuwa awali. Katika majimbo ya mikoa ya CHADEMA-Asilia kura za uraisi walimpigia zaidi Magufuli lakini kura za ubunge na udiwani waliwapigia zaidi wana CHADEMA wenzao.

Hii ndiyo imetoa tofauti inayolalamikiwa na akina Kubenea, Mbatia & Co. Mambo haya wameyasababisha wenyewe na wasilaamu mwingine.
Wanafikiria kutumia makalio wenzako wanadhani fisadi na jizi lowasa lilikuwa na mvuto
 
Hatuna muda wa kufuatilia hayo, Dr Magufuli ndiyo rais wenu

Halafu hii dhana ya "mahaba niue" watu walisema ipo ukawa lakini nimegundua imekubuhu ccm. Yani imefika mahali mmekubali kwamba mmeshinda kwa kuiba kura lakini potelea pote aapishwe tu? Eeh Mungu turehemu. Mimi nimekubali..aapishwe tu dikteta wetu tuendelee na maisha.
 
Hivi hawa wanafahamu sheria za uchaguzi au wanafikiria tu power na peremende wanazopewa?

''Uchaguzi wa rais na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaosimamiwa na tume ya taifa ya uchaguzi ni tofauti na Uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.' ''Hii ni kwa sababu Tume hizi zinazisimamiwa na Katiba na sheria tofauti.'''Uchaguzi wa Zanzibar unasimamiwa na Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano unasimamiwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.''

Wacha
wahahe imekula kwao.
 
Halafu hii dhana ya "mahaba niue" watu walisema ipo ukawa lakini nimegundua imekubuhu ccm. Yani imefika mahali mmekubali kwamba mmeshinda kwa kuiba kura lakini potelea pote aapishwe tu? Eeh Mungu turehemu. Mimi nimekubali..aapishwe tu dikteta wetu tuendelee na maisha.

Kijana jitambue wakati wa mabadiliko kifikra ndo huu. Anayekwambia kura zimeibiwa atoe japo ushahidi wa jimbo moja tu la uchaguzi ambalo kura zake ni tofauti na za NEC. Kumbuka kila kituo cha kupigia kura kulikuwa na form maalumu iliyojazwa na mawakala na kusainiwa na wao, kuthibitisha uhalali wa kura za hapo. Bila ya hilo ni ulaghai mtupu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Mfano mmoja tu..bumbuli. january alipigiwa kura 20,000 na ushee...magufuli kapigiwa kura 40,000 na ushee. Hiyo ziada ya 20,000 imetokea wapi? Au ndio hao chadema asilia?

Anyway..mimi nimeishia kukubali. Nitamuombea magufuli mafanikio aweze kuleta hayo mabadiliko ya kweli anayosema. Ila kwakweli bado nina hofu kwamba hiyo haitawezekana ndani ya ccm. Lakini nitamuombea mafanikio maana akifanikiwa wote tumefanikiwa. Ila kwakweli mambo ya kusimama juani masaa 6 eti kupiga kura..sioni nikirudia.
 
Tamaa za Mbatia, Mbowe na EL zinataka kufanya nchi imwage damu. Nyambaaaaffffffff,

Tamaa za Kikwete bwana. Wacha kusingizia watu as if hili hulijui. Kikwete anafikiri Tanzania ni nchi ya Kiarabu na kutaka kurithisha watu madaraka. Acheni ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom