Wanachokisema wazungu kuhusu Tanzania... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachokisema wazungu kuhusu Tanzania...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Mar 16, 2011.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Wakuu, hii nimeiona kwenye Face book kwenye Page ya Mtalii mmoja ambaye yuko nchini kwetu kwa matembezi:

  Majadiliano yakaendelea:

  Baada ya muda mwanzisha mada akaja na hii:

  Mwisho wa kunukuu..

  Hivi wakuu wenye taarifa, huyu waziri aliyelalamika kuuawa ni kweli alitaja ushirikina kama njia anayohisi kuwa itatumika kumuua? Au huyu mzungu anajaribu tu kuponda Intellect yetu hapa?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  ni kweli jamaa alisema kuwa wale wauaji wamepewa kinga na mganga wa kienyeji.. Soma ile story yake /barua /maelezo yake kaeleza kila kitu fresh tu.
  Hao wazungu ni miyeyusho kwanza warudi kwao huko wakafanye kazi tuje tuwaombe neti za mbu na misaada, si Mramba walinunua ndege kabisa kwa ajili hiyo.
   
 3. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nadhani anasema kuhusu Mwakyembe ....yaliaandikwa magazetini hivi karibuni
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  atakuwa ndio katoka jela so hayupo updated sana
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawa watu kwa kweli hawawezi kutusema kwa mambo mazuri hata kidogo!
   
 6. G

  Gathii Senior Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapana mzee,naomba kutofautiana na wewe na hapo...wazungu wengi huwa wanasema mazuri pale wanapoona...lakini wanasema pia mabaya wanapoona,hapo ndipo tofauti inapokuja na sisi,wengi wetu tunapenda kusikia mazuri tu,mtu akisema mabaya hata kwa nia njema anageuka enemy number 1 and soon should be eliminated by any means
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Haya mambo ndio wazungu wananyapenda sana. na watakusikiliza kwa makini ukiwapa stori za aina hii, uchawi, njaa, magonjwa, udini nk.
  Hawataki kabisa habari za maendeleo na ukiwa intelligent kuliko wao hawatakupenda. Hawapendi maendeleo yetu kabisa.

  Kuna partner shule moja niliitembeleaga huko uzunguni nikakuta, watoto wakaambiwa wachore picha how they imagine africa, wakachora bara la africa likiwa na njaa, magonjwa na vita kila mahali, hamna zuri hata moja walilioonyesha, hata mlima Kilimanjaro na wanyama hawakuweka, u can imagine jinsi wanavyotuenjoy.
   
 8. G

  Gathii Senior Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona hamuachi kulia kulia nyinyi??kama wao wanasema tu na hayo wanyosema hayapo ila kuna mazuri tu Africa tatizo liko wapi?ishu ni kwamba mengi wanayosema (najua siyo yote) ni kweli kuhus Africa wacheni kuwa wanafiki.
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehe.. wazungu bana.. ila ana point kwa siku hizi za karibuni magazeti na vyombo vya habari vinaacha kureport issue za maana. wanaongelea ushirikina na utapeli unaofanyika loliondo
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yah,alisema,soma mtanzania
   
 11. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wajinga sana....
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  soma signature yangu utaelewa

   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mmmmh! Watoto walikuwa na akili hao. Hadi kuweza kuonesha njaa, magonjwa na vita kwenye ramani.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Duhh
   
 15. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,524
  Likes Received: 996
  Trophy Points: 280
  Watanzania wengi wanaamini uchawi, hii ni kwasababu ya elimu yetu ndogo. Haswa serikali ya nne, ikiwa ikulu ilikuwa ikiamini uchawi, JE mtu wa kawaida. Maprofessor , wana sayansi wa Tanzania wanaamini uchawi Ndiyo maana Tanzania iko nyuma sana kwa imani za kijinga na zisizo na ukweli wowote. Tanzania tunaishi gizani kwa imani zetu. Binaadamu maisha yetu yanaupungufu, Wakati mwingine tunafuraha, saa nyingine majonzi, uzima na Marathi ni part ya maisha ya binaadamu. Na mwisho lazima tufe. Tukifa, tumelogwa, tukiuguwa tumelogwa, tukifukuzwa kazi tumelogwa, ujinga gani huo? Sehemu nyingi za Tanzania zenye imani za uchawi maendeleo yao ni duni.
   
Loading...