Nimejitahidi kumsikiliza hadi dakika ya 2:47 nimejikuta kichwa kinauma.Ukimsikiliza huyu kijana mpaka mwisho hauna akili
nasikia wao wanakuita 'bwabwa'!Hawa madogo mi nawaitaga 'machoko'
Yaani umeshuka hivyo..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.
..kwa kawaida vijana wa umri mzungumzaji kwenye video hupenda sana kuhoji na kuchambua masuala mbalimbali na siyo kumeza kila anachopewa kama inavyoonyesha kwa huyu kijana.
..kama vijana walio wengi upeo wao wa kufikiri ni kama huyu mzungumzaji kwenye video, maana yake ni kwamba Tanzania ina wazee wengi kuliko vijana.
Bora bwabwa kuliko chokonasikia wao wanakuita 'bwabwa'!
Huyu jamaa kama anaigiza... haelewi anachokiongea! Anatumia mhemko katika kuongea!..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.