Wanachokifanya hapa Mungu ndie ajuaye

Wanachokifanya hapa Mungu ndie ajuaye

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417524605475.jpg
 
ole wako wakati wa kunywa hio kitu upulize povu litoke utajuta kuzaliwa kwetu tarime kitu ya wazee wa kimila iyo
 
ole wako wakati wa kunywa hio kitu upulize povu litoke utajuta kuzaliwa kwetu tarime kitu ya wazee wa kimila iyo

Yani sawa na kula kubeli halafu umeze yale mate yanayodendeuka
 
Kule kona kushoto ni active memba wa jf, al maarufu humu
 
Hahahahaaa mtaje tuu kiti kitakulinda

Mkuu mshana jr nataka sana kumtaja, ila namhofia mwenza wake, nae ni active memba humu, ni mmoja wa timu wambea na kusutana, bidada ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr nataka sana kumtaja, ila namhofia mwenza wake, nae ni active memba humu, ni mmoja wa timu wambea na kusutana, bidada ni balaa

Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa
 
Last edited by a moderator:
...............hata mie najua.................
 
Back
Top Bottom