Wanachit chat tafadhali


PakaJimmy hebu nikumbushe...ni kama nishawahi kukusikia vileee hivi wewe ndio unaishi Nangurukuru au we ni wa kule Mchamba wima?? Nimekusahau please samahani
 
Last edited by a moderator:
Mh..................Mwaka huu mpaka uishe....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yani sisi ni backbenchers? MUSSOLIN watu8 eliah g Mbuzi Mzee
 
Last edited by a moderator:

pamoko sana mkuuuuuuuu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nyota ya Madame B inawaka sana mwaka huu! Ila inabidi Madame B umwangalie sana PakaJimmy! Asikufanye kuwa ni kwa "matumizi ya kawaida" badala ya "matumizi ya lazima!"
 
Last edited by a moderator:
Sawasawa baelezee kbs,usije kunikosa kule Tanga maana Filipo nae anataka alale na mimi.

Hii staili mlioanza ya kuweka pm huku jukwaani itakusababisha unikose! Wife wangu marejesho akiona anaweza akasitisha uwepo wetu huko ati!?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…