mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Aisee,
Naona sasa hivi naanza kuzoeleka Chit-Chat against my wish....!
Naomba ishu zote zinazonihusu huku chit-chat aambiwe Madame B, maana tumeunga uhusiano wa karibu, na anajua jinsi ya kunifikishia taarifa zote hata usiku wa manane!
Filipo sweetlady, marejesho Mungi, Erickb52, Arushaone, msinitajetaje huku bana, mimi sitaki kusutwa umri huu!

[FONT=comic
sans ms]utajibeba.......ndio umeshakolea.....
karibu mwaya mchakavumlasana jimboni
kwangu......w/end hii waziri wa mambo ya ndani
atakuwepo.....[/FONT]
Yerewiii alale na wewe kwani wewe ni MTO?Sawasawa baelezee kbs,usije kunikosa kule Tanga maana Filipo nae anataka alale na mimi.
mzima ww?yerewiii alale na wewe kwani wewe ni mto?
Yerewiii alale na wewe kwani wewe ni MTO?
Kwani yeye ni godoro gani? QF Dodoma, Boflo, Arusha au Spring Mattress kutoka Mbagala?alikua anamaanisha ALALALIWE
ye ni BLANKETI chapa mtu....sio GODOROKwani yeye ni godoro gani? QF Dodoma, Boflo, Arusha au Spring Mattress kutoka Mbagala?
Sawasawa baelezee kbs,usije kunikosa kule Tanga maana Filipo nae anataka alale na mimi.
marhabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kuna mtu anaitwa Boflo nae umemsalimia au ndo kusema hujui umueweke kundi la boxer au dera!aahahhahahhahhahah
mi jina lako tu!
Hapa ndio huwa sisi Wazungu wa Kyimbila tunasema, mbombo ngafuye ni BLANKETI chapa mtu....sio GODORO
Hapa ndio huwa sisi Wazungu wa Kyimbila tunasema, mbombo ngafu