Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,085
- 110,793
Alafu yeye sio Wa kwanza kuachana.Yap sio kila siku kulia lia kwenye media..
Alafu yeye sio Wa kwanza kuachana.Yap sio kila siku kulia lia kwenye media..
Unataka kusemaje mkuu..Kuna Mzee mmoja Nilikuwa Napiga nae story za hapa na pale,,basi nikamuuliza Inakuwaje ukute mchungaji anakutafunia mke wako??? Akasema lazima na yeye amtight amtafune ndo heshima itarudi.Kwa nini awaruke wote aje anitafunie mimi??
Kwel kabisaa...!!Yap sio kila siku kulia lia kwenye media..
Kumbe yamewahi kukukuta mzee .Namimi nilikaaga kimya, yakapita na maisha yakaendelea
Hakuna dawa mujarab kama kukaa kimya.....Kumbe yamewahi kukukuta mzee .
Hivi hata opponent(ex) wako hii dawa, inamu affect au yeye hapati shida yeyote?Hakuna dawa mujarab kama kukaa kimya.....