Wanachama wote wa chama cha wanaume piteni HAPA

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,268
2,310
Ndugu wajumbe nimewaiteni hapa kila mwenye neno la faraja kwa mwanachama wenzetu na anayopitia kwa sasa aweze kuyatoa..
Screenshot_20170429-235744.png
 

ajikaze mwanaune mwenzetu, sasa atafute pesa zake aendeshe maisha

ila naskia katia timu naye kwenda kushuhudia mapinduzi huko ahahah. huyu jamaa bhana!
Kama kweli namtoa kwenye chama aisee subiri taarifa zake zitanifika mwenyekiti
 

ajikaze mwanaune mwenzetu, sasa atafute pesa zake aendeshe maisha

ila naskia katia timu naye kwenda kushuhudia mapinduzi huko ahahah. huyu jamaa bhana!
Unajua kufariji kweeli.....

Ndo kashapatikana handsome mwingine, avumilie tuu japo yauma
 
Inaaaachoooooma kama pasiiiii. Usipokuwa makini unaweza kutokwa na povuuuu. Avumilie tuuuuu hakuna namna
 
Hizo habari ngumu ila nahisi kama Jamaa alishakubali na kusahau sidhani kama kwa sasa kuna maumivu.

Neno la kujifariji ni "ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno"
 
Ndugu wajumbe nimewaiteni hapa kila mwenye neno la faraja kwa mwanachama wenzetu na anayopitia kwa sasa aweze kuyatoa..View attachment 502836
Asipate hofu wala shaka,namshauri atulie ,PALE hakuna ndoa ni bongo movie,shahidi yake mimi, ukiisha mwaka MMOJA bila mchezo wao kuparaganyika nitawapelekea ZAWADI ,ndio wengi wao hukimbilia kufanya vile kwa matamanio tu wala sio kwa dhati.
UTAKUWA hivi:
1.JAMAA yule kwa muonekano yeye ndio kaolewa
2.Akiisha ingia ktk hiyo ndoa atatafuta mwanamke wa size yake
3.Flora atakuwa bize na wakubwa wenzie
4.kisha atagundua pesa yake inatumiwa na wanawake wenzie,hatakubali
5.kijana nae ataona kama anabanwa,hana raha mwisho ATATOA makucha yake
6.ubabe wa mbasha kimfanya mwenzio mtoto utamfanya kijana na yeye kudai talaka
MWISHO Mbasha utakuwa mshindi,utapata mtoto mzuri aje kuwa mke mwema.Flora ataanza kujificha,aibu mara ataanza kujuta!!
wewe lea watoto wako bila kinyongo mkuu
 
Back
Top Bottom