Ndugu wajumbe nimewaiteni hapa kila mwenye neno la faraja kwa mwanachama wenzetu na anayopitia kwa sasa aweze kuyatoa..
View attachment 502836
Asipate hofu wala shaka,namshauri atulie ,PALE hakuna ndoa ni bongo movie,shahidi yake mimi, ukiisha mwaka MMOJA bila mchezo wao kuparaganyika nitawapelekea ZAWADI ,ndio wengi wao hukimbilia kufanya vile kwa matamanio tu wala sio kwa dhati.
UTAKUWA hivi:
1.JAMAA yule kwa muonekano yeye ndio kaolewa
2.Akiisha ingia ktk hiyo ndoa atatafuta mwanamke wa size yake
3.Flora atakuwa bize na wakubwa wenzie
4.kisha atagundua pesa yake inatumiwa na wanawake wenzie,hatakubali
5.kijana nae ataona kama anabanwa,hana raha mwisho ATATOA makucha yake
6.ubabe wa mbasha kimfanya mwenzio mtoto utamfanya kijana na yeye kudai talaka
MWISHO Mbasha utakuwa mshindi,utapata mtoto mzuri aje kuwa mke mwema.Flora ataanza kujificha,aibu mara ataanza kujuta!!
wewe lea watoto wako bila kinyongo mkuu