Wanachama waliojiunga CDM - Mbeya

haya sasa kujisifia kabla hujasifiwa, hizi ni mbio za sakafuni. CDM haitafika kokote.
 
^ kila mmoja wenu anarudia neno hilo hilo la time will tell, CCM ndio BABA. CDM ni binti wa kike alie anza kubalee. 2015 mtabaki na masikitiko. Nyie endeleeni na kampeni zenu huko vijijini, mtakuja gundua kwamba vijijini ni boring na entertainment yao ndio hizo za kufurika kwenye mikutano isokua na maana.
 

1.Hivi kuna binti wa kiume??
2.Ni kweli kila mmoja kasema TIME WILL TELL au ndo mmeshazoa kuzani???
kukusaidia tu, tunaposema time will tel ni busura zaidi hasa kwa great thinkers, sasa wewe unataka totea conclusion???

Nawashangaa watanzia kama wewe mnaochukia maendeleo ya CDM baada ya kufurai kuwa sasa tunajenga multipartism ya kweli ambayo itawapa wananchi uwezo wa kuwajibisha viongozi kupitia uchaguzi na kufanya utawala kufa na kubaki na uongozi au wewe unafurai unavyotawaliwa na CCM?? au ndo ata ujui tofauti ya uongozi na utawala??

ni aibu kwa great thinker kuiita CCM ni BABA wakati ata watoto wanaizomea, kumbuka ''children they are not less intelligent than adult, they simply think differently'' by Piaget.
 
Sawa kaka, nimeona mambo ya CDM Mbeya, endeleeni kutujuza. Zitto yeye yuko wapi?

yuko njombe kumzika bibi yetu TULAKALA ...nimemuona jana kwenye TV ...duhh ile spika tunaye yaani kafiwa na mamake lakini anaongea jana utadhani anatoa wosia kwenye kitchen party maana alikuwa anacheka....
 

nyie sio mmezoea kuiba kura na kuweka wagombea wenu wagonjwa kutwa wanatangatanga kupiga vikombe badala ya kufanya kazi maofisini...we umesikia eti viongozi wa chadema wameonekana loliondo kupiga kikombe??? hahaaaa
 

CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!
 
CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!
kuna topic umechangia,inaonekana ww c wa Mbeya,na wala hauko Mby,hii unasema uko Mby,2amini lipi?"Mjomba kazi mnayo!"nakushauri,UKITAKA KUWA MWONGO,USIWE MSAHAAULIFU,
 
Jana Mh Zitto,alikuwa na mikutano mi4 ktk jimbo la mbozi mash,leo ameenda njombe pamoja na mh Mbowe msibani kwa mama Makinda,leo jioni Zitto atafanya mkutano Rujewa.
CDM Mko vizuri sana, endelezeni mapambano hawa jamaa wa kijani wacha waendelee kujivua magamba watarost tuu!!!!!!!!! Wapelekesheni wakistuka wameliwa mazima, Mbeya ni mfano hai kuleni miwa waachie makapi(Shitanda)!!!!!!! Aluta Continua, Mapambano bado yanaendelea!!!!!!!!!
 
Majibu si unayo, muulize Mr Too!!!!!!!!!!!Mbeya mjini baba jimbo la CDM bado una maswali?????????
 
Zitto anamuhudumia mama yake kwanza...nadhani bunge likianza maza ake atakuwa keshapona na zitto atakuwa available bungeni.
Si kweli wewe fuatilia thread hii Zito yuko live na busy na mambo ya chama front line!!!!!!!
 
CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!

Acha wivu wa kike, hahahaaa. Last time ulisema mkutano hauna watu, baada ya kuumbuliwa na picha unasema chadema ilisomba watu, acha hizo
 
Leo hii fanya mkutano kijiji chochote kile Tanzania, weka maspika makubwa halafu ungurumisha muziki, kila mwanakijiji atakuja akitegemea kupewa zawadi na ubwabwa wa bure. Hii ndio Tanzania, Hata nyie naojifanya CDM damu,ni njaa tu inawasumbua, leo hii ukidanganyiwa hela/kofia/t-shirt na ubwabwa kidogo tu basi utampondea Slaa kama huna akili nzuri..
 
Zitto anamuhudumia mama yake kwanza...nadhani bunge likianza maza ake atakuwa keshapona na zitto atakuwa available bungeni.

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh mkuu? ndo nini tena unaleta weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?
 
Hizo ndio sera za CCM,kwa mtindo huo wemejikuta wakianzisha kila aina ya ngonjera mara tunapiga vita mafisadi oohtunajivua magamba ooh hakuna jiwe litakaloachwa, ndio maana CCM hamna hata nguvu mukasimama kifua mbele kuwambia wananchi utumbo wa aina yeyote
 
Kutetea ccm inabidi uwe na kili km ya mwenda wazimu vile....la sivyo kwa maisha yalivyo ukilinganisha na rasilimari tulizonazo ambapo tumefikishwa hapa na ccm...hakuna mtz mwenye busara na hekima atainuka kifua mbele kushabikia ccm..............mpaka watu wamefikia kujiuliza kuwa hivi wanaopenda kikwete na ccm hivi ni watz kweli?


mpaka sasa nimetembea sehemu nyingi tanzania sijaona mtu akajitokeza wazi wazi na kusema yeye ni ccm yaani akawa kifua mbele kukitetea
 
kimya kimya hata kama magazeti yasiporipoti , itakuwa kama mchwa ndani ya mti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…