act vibaraka wa ccm ! lengo lao ni kuwadumaza ukawa.
Rais wetu hawezi kuongea hiyo kauli JK ni Rais wa watu.mkuu kwema! ile kauli yako kuwa rais hawezi toka kaskazini vip mzee Edo mnamtosa?
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.
vua gwandwa vaa uzalendo, october ndio magwanda yatajuta
Chadema kuna mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine tena na ukijaribu kumpiga unafukuzwa kama paka, halafu mnajiita chama cha Demokrasia.Haaaa,haaaa hiyo watasahau wao waendelee kutwangana mangumi kwenye urais hadi Jana walikuwa 35
Naona unamchokoza Lema na kazi yake.Wewe vipi mkuu bado upo tu kwenye chama cha vibaka?
Chadema kuna mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine tena na ukijaribu kumpiga unafukuzwa kama paka, halafu mnajiita chama cha Demokrasia.
Naona unamchokoza Lema na kazi yake.
Chadema inadhamira ya kweli ya kukutoa wewe utumwani. Chadema iko determined kuigeuza nchi hii kuwa ya maziwa na asali. Na kwakuwa tumetubu kwa Mungu kwa kosa kubwa la kumweka Kikwete kama wana Israel walipomlazimisha Mungu awape Sauli kuwa mfalme, wana wa Israel walipata misukosuko wakapigwa mapigo hadi walipotubu na kumpata mfalme Daudi ndivyo na sisi watanzania tumetubu kwa Mungu kwa kukipa chama cha majizi, waongo,wauaji na makatili. Mungu ameridhia kutupa 'Daudi' wetu. UKAWA. Ndio maana tunasema UKAWA TUMAINI LETUChadema kuna mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine tena na ukijaribu kumpiga unafukuzwa kama paka, halafu mnajiita chama cha Demokrasia.
Hawawezi kutangaza wana-CCM wakijiunga nao, hata hivyo si lengo la ACT kuwa na wanachama wanaotoka CCM!
Zitto analelewa na viongozi wa CCM na ndio maana hata kule kigoma wameridhia Peter Serukamba abadilishane nae jimbo. Katika mazingira ya kawaida isingekuwa rahisi CCM waruhusu mbunge wao abadilishane jimbo na mgombea wa upinzani, never!
Watanzania tunapigwa changa la macho tu!
Kamanda kulikoni tena unaanza mahubiri umekuwa Gwajima.Chadema inadhamira ya kweli ya kukutoa wewe utumwani. Chadema iko determined kuigeuza nchi hii kuwa ya maziwa na asali. Na kwakuwa tumetubu kwa Mungu kwa kosa kubwa la kumweka Kikwete kama wana Israel walipomlazimisha Mungu awape Sauli kuwa mfalme, wana wa Israel walipata misukosuko wakapigwa mapigo hadi walipotubu na kumpata mfalme Daudi ndivyo na sisi watanzania tumetubu kwa Mungu kwa kukipa chama cha majizi, waongo,wauaji na makatili. Mungu ameridhia kutupa 'Daudi' wetu. UKAWA. Ndio maana tunasema UKAWA TUMAINI LETU
Wanaondokaje kwenye chama cha wachaga wakati nao ni wachagga,kwani hujui kuwa Mbozi nayo ni kanda ya kasikazini na niwilaya moja wapo kati ya zile za mkoa wa Kilimanjaro?.Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga.
Karibuni wazalendo kwenye chama makini