Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

Ungemalizia kuwa wameamua kujiunga na chama cha waha waislamu wa Gungu!
Huyu hapa kamalizia.

By Ulukolokwitanga:
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
 
Yes...kwasababu chadema ni chama kandamizi
ndugu msingi wa chama chenu kutuhumiwa kuwa ni tawi la ccm umejikita hapo.
"tutaifuta cuf mkoa wa pwani" by Mwigamba wa ACT. Ikumbukwe kuwa ccm anadominate mkoa wa pwani.
 
Huyu hapa kamalizia.

By Ulukolokwitanga:
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??

Ccm.. Chama cha Mafisadi
 
Huyu hapa kamalizia.

By Ulukolokwitanga:
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
Hapo uislam haujatajwa!
 
Mi nipo hapa mbozi mashariki waliojiunga ni wanachama wa cdm pekee bado tunatafta na waccm na vyama vingine huu ndo mwanzo

Kwahiyo jumla ya wanachama wa saccos ya mwandiga sasa imefikia 720 Tanzania mzima? Hongera sana.
 
ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.

Mkuu act ni ccm b,kipo kwa ajili ya kuuwa upinzani tanzania ila ndio hivyo wameshindwa kama walivyoshindwa mission nyingine nyingi tu.
 
ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.
Ccm b kazi yao ni kuiuwa cdm,ila wameshastukiwa na watanzania kwani hila zao zimeshindwa na wana mbwelambwela tu,wakati cdm inajiandaa kutwaa nchi kwa kushirikiana na cuf na nccr mageuzi na nld.
 
Lakuvunda halina ubani chadema ilishavunda siku nyingi sana.

Lowasa ndiye kiboko ya ccm,olewenu mkate jina lake muone mtakavyo pores kwenye ulimwengu wa siasa tanzania kama alivyopotea idi amini.
 
Hao wana tamaa ya madaraka. Wajue nje ya Chadema hakuna chama cha upinzani cha kushinda mbozi.
Mi nadhani ni wazi kuwa ACT wamekuja kwa ajili ya CCM.
All in all. Mbozi Chadema itashinda kwa kishindo.

Act ni sawa na kibwetere kule zenji
 
Back
Top Bottom