mbombo mte
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 713
- 197
wanaruka moto wanakanyaga mavi.
🙊grow upwanaruka moto wanakanyaga mavi.
ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
mimi mchaga nitakilinda chama chetu hadi dk ya mwisho
"Adui wa kwanza wa Chadema ni ACT na ZZK "(Mnyika, 2015). "To every action there is equal and oposite reaction " (Newtons law of motion)ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.
Kuna posti humu yenye lengo ambalo bado sijaelewa.
Jana mjini Vwawa mbozi mbeya Mtia nia Ubunge wa Chadema jimbo la Mbozi Mashariki Fanuel Mkisi aliwapokea wanachama wapya watano wakiwamo wawili ambao walikuwa wagombea wa nafasi ya Katibu na Mweka-hazina Mbozi katika chama cha ACT.
Wote wamepewa kadi za CHADEMA na mapambano yanaendele katika hii ngome mpya yenye nguvu ya Chadema ya Nyanda za juu Kusini.
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukanusha kwani hatukuona mapema.
Mdude CHADEMA.
Takataka Gani Hii Tena??