Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

Mweru Mzeru

Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Kwa habari zilizovuja ni kuwa wanachama 20 waliokuwa maarufu CDM jimbo la mbozi mashariki wameamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo.

Kwa habari zilizothibitishwa na mmoja kati ya viongozi wa chama hicho alidai kuwa katibu wa chama hicho wilayani mbozi mh. Rahim Nzunda ndie aliewapokea wanachama hao na jambo hili limefanyika kwa siri na umakini mkubwa ili siku ya jumamosi tar 20 pindi ajapo mh ZITO KABWE AWAKABIDHI KADI ZAO RASMI

TULIPOJARIBU KUMTAFUTA KATIBU WA WILAYA MH RAHIM NZUNDA SIMU YAKE ILIITA KWA MUDA MREFU BILA KUPOKELEWA NA ILIPOKELEWA ALIPOKEA MWANAMKE NA ALIDAI MH RAHIM NZUNDA YUPO KATIKA KIKAO KIZITO NA WANACHAMA WAPYA HIVYO APIGIWE MUDA MWINGINE!
 
Tunawakaribisha sana sehemu iliyo sahihi, pia tunawapongeza kwa kufanikiwa kuponyoka mikonon mwa wanyang'anyi
 
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
 
ACT kina viongozi wenye utoto kupitiliza,wanachonishangaza hawatangazi pale wanaccm wanapojiunga nao,ila akitokea mtu mmoja wa CHADEMA akajiunga nao basi watatangaza kila sehemu.Hiki chama lengo la kuanzishwa kwake linaonekana dhahiri ni kushindana na CHADEMA tu,hawana habari na CCM kabisa.Chama cha ajabu kabisa cha siasa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.Na watu wanaojiunga na hiki chama kisicho na malengo yoyote ya kupambana na chama tawala ndo hawajielewi kabisa.
 
Waliojiunga ni wana CHADEMA tu, hakuna wa vyama vingine?
 
Mi nipo hapa mbozi mashariki waliojiunga ni wanachama wa cdm pekee bado tunatafta na waccm na vyama vingine huu ndo mwanzo
 
Lakuvunda halina ubani chadema ilishavunda siku nyingi sana.
 
Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga.
 
Hao wana tamaa ya madaraka. Wajue nje ya Chadema hakuna chama cha upinzani cha kushinda mbozi.
Mi nadhani ni wazi kuwa ACT wamekuja kwa ajili ya CCM.
All in all. Mbozi Chadema itashinda kwa kishindo.
 
Nyanda za juu kusini hicho kikundi cha waha Ni dhaifu Sana,hakiwezi kupata hata diwani mmoja Kanda nzima
 
Back
Top Bottom