CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu.
Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna miundo mbinu mbovu sana ,
Tatu kikao Cha mtandao inatumika kama njia ya kudhibiti mjadala kwani siyo rahisi mwanachama kutoa hoja kutokana na mazingira ya kubanwa na ukilinganisha wananchama hawana uelewa kuhusu mabadiliko ya katiba ,