Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?!
Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga banašš¤£š¤£
=========
Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC), amewapokea wanachama wapya 7 kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao wameahidi kuungana na wanachama wa CCM Kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Aidha Katibu Mkuu Suzan Kunambi Amewataka viongozi wa UWT Wilaya ya Iringa Mjini kudumisha umoja na Mshikamano ili kufanikisha ushindi huo wa Chama Cha Mapinduzi .