Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Halafu mtu ambaye Chadema ilimpa kura za ubunge elfu 20 , hata angehama na watu 1000 ni kazi bure tu
Mkuu Erythrocyte , hili ndilo kosa kubwa Chadema mnalokosea kudhani kura wanazopata wagombea wenu ni kura za wanachama wenu!. No ni kura za wananchi!. Mimi nimehudhuria kampeni zake Geita, Chadema Geita ilikuwa ni Upendo Peneza, bila Upendo Chadema haina kitu kabisa Geita ila pia uchaguzi wa 2020 kuna kitu mbaya ilifanyika, CCM ikashinda!.
P
 
Upendo ndio aliitegemea Chadema , Chadema haikuwahi kumtegemea Upendo , unamkumbuka Alphonce Mawazo , huyo ndiye aliua ccm Geita , Upendo aliaminiwa na kupewa ubunge na Chadema akiwa na miaka 26 tu , leo huyu ndio wa kutukana Chadema ?
 
bila upendo hakuna chadema geita hata ukatae huo ndiyo ukweli
 
Upendo ndio aliitegemea Chadema , Chadema haikuwahi kumtegemea Upendo , unamkumbuka Alphonce Mawazo , huyo ndiye aliua ccm Geita , Upendo aliaminiwa na kupewa ubunge na Chadema akiwa na miaka 26 tu , leo huyu ndio wa kutukana Chadema ?
Kuna watu Chadema wanaamini CCM wote ni madhalimu, kiukweli kabisa ndani ya CCM, kuna wana CCM Wazalendo wa kweli ambao ni watu wema, tuliumizwa na kilichomtokea Kamanda Alfonsi Mawazo. Ila huyu binti mimi nimempenda mpaka basi!, na bahati yake nimemjua wakati mimi ni tayari kwisha habari yangu, vinginevyo...
Angalia
Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
Angalia nilipomfahamu, Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
P
[/QUOTE]
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.

Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.

Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]

Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.

Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.

Kama unampenda mtu kwa sababu ya sura yake nenda kanywe naye chai - JK NYERERE
 
Huyu binti sio nampendea beauty yake bali she has a beauty with brain!.
Nilishauri mpaka Blaza wangu yule amsikilize!. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

View: https://youtu.be/h3shR8rZpSI?si=wdqlBB9jcY2Gl17W

Hiki ni kichwa haswa na mimi nilimuunga mkono nikashauri Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!
P
 
Wakihama ni haki yao. hakuna wakumuktaria mwenzake kuhama. Vigogo wa ccm waliwahi kuhama bila kizuizi
 
Umejuaje kama naye Mawazo asingehama? Wamehama wanaume wangapi? Kina Silinde, Mashinji, Slaa na wengine.

Chama sio kabila au ukoo useme huwezi kuhama.
Labda Afrika tu ila dunia nzima vyama ni kama dini huwezi sikia eti republicans 100 wamehamia Democrats au vice versa!!

Mfano chadema ni mrengo wa kati kulia but Ccm ni mrengo wa kushoto. Sasa mtu unahamaje? Ni kama tu mkomunisti ahamie chama cha kibepari?

NB: Mawazo asingehama maana alishakua CCM akaondoka kuja CHADEMA na akazunguka nchi nzima kwa gharama zake kuvunja ngome zake, kwa misimamo ile asingeweza rudi CCM!! After Mnyika basi Mawazo ndio chadema lia lia asingeweza hamia CCM.
 
Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Huyu hata nguvu na mbinu zake changa,ni dawa na kugusa mkia wa ng'ombe wala asishtuke
 
🤣🤣🤣 hizi habari zimeshaanza. Yaani hii nchi sijui inajiendesha in deja vu
Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa hawa watu, yaani wanatumia muda, nguvu, na pesa nyingi na huku wanajua kuwa wataiba kura na kujitangazia ushindi mchana kweupe.
 
Upendo duh nini kimempata? Kama ni viti maalum mbona hata Chadema angepata 2025!! Kama ni jimbo mbona ana uwezo wa kulibeba maana 2020 alipata zaidi ya 30% licha ya nature ya chaguzi za kiafrika.

Hata marehemu Alphonce Mawazo atakua anasikitika huko kaburini, he fought for nothing Kama wewe na Nusrat mliyekua wanafunzi wake leo hii mmesahau legacy yake na kuenda kuungana na mafisadi.

This is so disappointing
Siasa za Tanzania bara ni rahsi mtu kununulika. Ndio maana waengereza walitawala kirahisi
 
Back
Top Bottom