GE2025 Wanachama 11 wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali - Wilayani Nkasi‎

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko usio halali.

Viongozi hao ni Winfrida Joseph Khenani (Katibu mwenezi wa Baraza la vijana CHADEMA Jimbo la Nkasi Kaskazini), Godfrid Bendera (Katibu wa CHADEMA Jimbo la Nkasi Kaskazini), Evarist Mwanisawa (Katibu Baraza la Wazee CHADEMA Wilaya ya Nkasi) na Scolastica Mwalonde (Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Majengo).

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linawataka Mhe. Aida Khenani (Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini) na Albeto John Kaliko Galincha (aliyekuwa diwani wa kata ya Itete) kujisalimisha Polisi wilaya ya Nkasi au ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Rukwa kwa kupanga mkusanyiko huo usio halali.

Kufuatia kukamatwa kwa wanachama hao wa CHADEMA, kumeibuka watu wanaotuma taarifa za uongo, upotoshaji na za kubuni kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na lengo la kuitia hofu jamii ya watanzania au kulichonganisha jeshi la Polisi kwa wananchi.

Hivyo Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linamtaka mtu mmoja aitwaye Alfred Sotoka kuripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Rukwa kufuatia kutuma taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na tukio hili. Asijifiche kwani atasakwa popote alipo.

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linawaomba wananchi kufuata sheria wanapotaka kufanya mkusanyiko. Pia kutumia vizuri mitandao ya kijamii na ya mawasiliano kwa kuacha tabia za kutoa au kusambaza taarifa wasizo na uhakika nazo.

Imetolewa na:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa
Tarehe: 28/07/2025

WhatsApp Image 2025-07-28 at 14.32.06_827196d6.jpg
 
CHADEMA haishiriki uchaguzi ila Dola inahangaika nao Sana.
wana zuio la kufanya shughuri za chama wao walikuwa wanafanya nini kwenye huo mkusanyiko au ndiyo mnatafuta sababu za kuanza #FREE CHADEMA NKASI? acheni kutafta sababu za kijinga namna hiyo
 
Hadi kuita sababu za "kijinga",wewe umeshajua walikuwa wanafanya nini?
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko usio halali.

Viongozi hao ni Winfrida Joseph Khenani (Katibu mwenezi wa Baraza la vijana CHADEMA Jimbo la Nkasi Kaskazini), Godfrid Bendera (Katibu wa CHADEMA Jimbo la Nkasi Kaskazini), Evarist Mwanisawa (Katibu Baraza la Wazee CHADEMA Wilaya ya Nkasi) na Scolastica Mwalonde (Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Majengo).

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linawataka Mhe. Aida Khenani (Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini) na Albeto John Kaliko Galincha (aliyekuwa diwani wa kata ya Itete) kujisalimisha Polisi wilaya ya Nkasi au ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Rukwa kwa kupanga mkusanyiko huo usio halali.

Kufuatia kukamatwa kwa wanachama hao wa CHADEMA, kumeibuka watu wanaotuma taarifa za uongo, upotoshaji na za kubuni kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na lengo la kuitia hofu jamii ya watanzania au kulichonganisha jeshi la Polisi kwa wananchi.

Hivyo Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linamtaka mtu mmoja aitwaye Alfred Sotoka kuripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Rukwa kufuatia kutuma taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na tukio hili. Asijifiche kwani atasakwa popote alipo.

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa linawaomba wananchi kufuata sheria wanapotaka kufanya mkusanyiko. Pia kutumia vizuri mitandao ya kijamii na ya mawasiliano kwa kuacha tabia za kutoa au kusambaza taarifa wasizo na uhakika nazo.

Imetolewa na:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa
Tarehe: 28/07/2025

sa100.jpg
 
Nikiita watu kumi tushereekee Bar tunakamatwa? Heee hatari hii nchi
 
Back
Top Bottom