MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Unahoji kwa kutumia uharo?Tatizo lenu huwa hakuna mwenye ubavu wa kuhoji chochote,nyie ni ndio tu
Unahoji kwa kutumia uharo?Tatizo lenu huwa hakuna mwenye ubavu wa kuhoji chochote,nyie ni ndio tu
Mradi gani? Acha nadharia. Tabia mbaya sana hii.Mbona anarudi kuitafuta nafasi ya ukatibi mkuu was CHADEMA kupitia msajili was vyama vya siasa?
Wewe endelea na mradi wako, ila umebugi kuiingiza CHADEMA kwenye upuuzi wako.
Mwenye tabia mbaya no wewe mwenye being.
Ukishaanza kujihusisha na Lumumba basi akili zako zinakua za ki-lumumba lumumba tu....
....
....
Isitoshe Dr Slaa tofauti na Prof Lipumba hakuwahi kuandika barua yenye maudhui ya kuacha kazi wala kujiuzulu bali aliomba kupumzika kwa muda. ...
...
Ulipata wewe hizo Billioni mbili.Tumwache Slaa ale hizo bilioni 2 alizopewa na ccm huko canada.akimaliza atarudi
Mkuu tatizo hamtumii akili kuwaza..Lipumba aliondoka kwa kufuata katiba na barua aliandika,,ila barua haikujibiwa,,je hiyo inaashiria nini?? Kama baraza kuu la CUF lingelidhia na kusaini ile barua basi leo hii yasingetokea hayo yote...tatizo mnahemka sanaDr. Slaa pamoja na kuwa amefanya kosa kibwa la jinai kwa Chadema hatakubali huo utoto wa Lipumba wa kujidhalilisha kama mtoto wa darasa la nne. Kama mahakama ikimtambua tutaidharau sana hiyo mahakama. Mtu huwezi kuondoka ofisini bila ridhaa kwa mwaka mzima halafu ukakubalika. Hasa kama uliondoka wakati wa vita.
Aibu sana kwa ccm na mwenyekiti wake.
Ukisoma ukiwa umetulia utaelewa vizuri andikoUkishaanza kujihusisha na Lumumba basi akili zako zinakua za ki-lumumba lumumba tu.
Unataka yanayotokea CUF yawe funzo wa Chadema, lakini hapo hapo unatuambia scenarios za Slaa na Lipumba ni tofauti, huoni kama unachanganya hapa??
Yaani matukio hayafanani lakini unataka tukio moja liwe fundisho kwa lingine, unaeleweka vipi hapa? Tena ume-bold kabisa kuonyesha msisitizo bila kujua ndio unajidhihirisha jinsi ulivyo mtupu. Wacha kutembelea hiyo mitaa aisee, unaharibika sana akili, uwezo wako wa kufikiri unapungua kadiri siku zinavyosonga mbele.
Wasiwasi wangu usije kua kama Deogratius Kisandu soon..!!!