Wanachadema huru maswa

Wanachadema huru maswa

WISE GUY

Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
11
Reaction score
3
Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm hatimae leo tuko nao pamoja baada ya hakimu kufuta kesi iliyokuwa inawakabili.OMBI LANGU KWA VIONGOZ WA CHADEMA NI KUWAKUMBUKA MASHUJAA HAWA WALIOJITOLEA KUKIPIGANIA CHAMA CHETU ILI HATA WATU WENGINE WASIVUNJIKE MOYO KUKIPIGANIA CHAMA PIA NAPENDA KUKIPONGEZA CHAMA CHA CDM KWA KUWASAIDIA NDUNGU ZETU TOKA MWANZO WA KESI HADI MWISHO VIVA CDM
 
Haki itapatikana tu , the Gambaz waliuana wenyewe , wakataka kutishia wapiga kura wetu . VIVA CDM.
 
Alwayz haki hucheleweshwa tu! haipotei wakuu!!!
 
Back
Top Bottom