simba anamshauri swalaNawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!
Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.
Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.
Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.
Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.
Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.
Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.
Maswali muhimu....
Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?
Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?
Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??
Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.
Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .
CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!
Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!
Idadi ya wapiga kura waliojitokeza kwenye uchaguzi wa marudio wa Udiwani Arumeru na Hai haiguswi kwenye chambuzi zenu za wapiga kira?Jingalao napenda kukujibu hiyo post yako namba moja. Ccm imewekeza na inatarajia ushindi, ila sio ushindi wa kura baada ya ushawishi wa kisiasa bali ni nguvu ya mwenyekiti wenu kupitia kofia yake ya amiri jeshi mkuu. Kutokana na tabia za mwenyekiti wenu, ccm sasa inajiamini kwani ina uhakika wa kufanya siasa bila ushindani kwa sababu mwenyekiti wake atatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kukibeba. Ila mbele ya umma ccm ni chama cha kikatili hata kama kinalazimisha tabasamu mbele ya umma.
Ila nisikudanganye chini ya mwenyekiti huyu ccm ndio itazidi kuwa dhaifu na pindi atakapotoka madarakani ikashindwa ushindani halisi. Halafu sio lazima ccm isiburi kote huko kwani hata dalili sasa zimejionyesha hasa kupitia chaguzi zilizopita ambapo ilishinda kwa mabavu mpaka ukawa ikasusia uchaguzi wa juzi. Uchaguzi wa juzi ccm ilishindana na vyama dhaifu ila idadi ya wapiga kura ilidondoka mno. Tafsiri yake ni kuwa ccm haina ushawishi tena kwa umma kwani sasa haifanyi siasa bali inaongoza kwa lazima. Pata picha unapofanya mapenzi na mwanamke uliyemchukua kibabe na akawa hana jinsi.
Uchaguzi huu wa kesho kutwa unaenda kuiabisha ccm kwa kila hali. Iwapo itashindwa itaingia aibu kwani ina mwenyekiti asiyekubali kushindwa hivyo si mshindani. Na iwapo itashinda kwa mabavu ndio itazidi kujiaibisha kwa umma na hapo itatoa nguvu sana kwa wapinzani mbele ya umma kwamba sasa ccm rasmi sio chama cha siasa bali kikundi cha kijeshi. Na huenda uchaguzi huu ukaichanganya sana ccm iwapo wapinzani wataweza kutumia mbinu za kisayansi kuimaliza ccm mbele ya umma. Ninaomba sana ccm itumie mabavu kupata ushindi kwani hilo ndio itakuwa kaburi lake na itabakia ikimtegemea tu mwenyekiti wake kama rais kuibeba.
Dhambi hiyo mbona haikututafuna Hai kwa mwenyekiti wa Chama...?
Expecting too much !!
jingalao kesha sema: goli ni goli.Jingalao napenda kukujibu hiyo post yako namba moja. Ccm imewekeza na inatarajia ushindi, ila sio ushindi wa kura baada ya ushawishi wa kisiasa bali ni nguvu ya mwenyekiti wenu kupitia kofia yake ya amiri jeshi mkuu. Kutokana na tabia za mwenyekiti wenu, ccm sasa inajiamini kwani ina uhakika wa kufanya siasa bila ushindani kwa sababu mwenyekiti wake atatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kukibeba. Ila mbele ya umma ccm ni chama cha kikatili hata kama kinalazimisha tabasamu mbele ya umma.
Ila nisikudanganye chini ya mwenyekiti huyu ccm ndio itazidi kuwa dhaifu na pindi atakapotoka madarakani ikashindwa ushindani halisi. Halafu sio lazima ccm isiburi kote huko kwani hata dalili sasa zimejionyesha hasa kupitia chaguzi zilizopita ambapo ilishinda kwa mabavu mpaka ukawa ikasusia uchaguzi wa juzi. Uchaguzi wa juzi ccm ilishindana na vyama dhaifu ila idadi ya wapiga kura ilidondoka mno. Tafsiri yake ni kuwa ccm haina ushawishi tena kwa umma kwani sasa haifanyi siasa bali inaongoza kwa lazima. Pata picha unapofanya mapenzi na mwanamke uliyemchukua kibabe na akawa hana jinsi.
Uchaguzi huu wa kesho kutwa unaenda kuiabisha ccm kwa kila hali. Iwapo itashindwa itaingia aibu kwani ina mwenyekiti asiyekubali kushindwa hivyo si mshindani. Na iwapo itashinda kwa mabavu ndio itazidi kujiaibisha kwa umma na hapo itatoa nguvu sana kwa wapinzani mbele ya umma kwamba sasa ccm rasmi sio chama cha siasa bali kikundi cha kijeshi. Na huenda uchaguzi huu ukaichanganya sana ccm iwapo wapinzani wataweza kutumia mbinu za kisayansi kuimaliza ccm mbele ya umma. Ninaomba sana ccm itumie mabavu kupata ushindi kwani hilo ndio itakuwa kaburi lake na itabakia ikimtegemea tu mwenyekiti wake kama rais kuibeba.
Tatizo hawapendi kuambiwa ukweli.Kwa jinsi UFIPA walivyo na makengeza hawawezi kuona ulichokiandika. Siku matokeo yakisomwa uyasikia mara tume sio huru mara polisi wamefanya hivi. Naungana nawe kuwashauri wajisafishe kuanzia kwa DJ then warudi kwenye grassroots wa revamp mfumo wao wa kiuongozi kwa maana ya kupata the competently elected leaders na sio kuokoteza wapiga kelele mitaani. Kichapo cha Siha na Kinondoni kitawatoa rasmi barabarani
Tatizo hawapendi kuambiwa ukweli.
Nini kifanyike ili ccm iwe imeshinda kihalali!Jingalao napenda kukujibu hiyo post yako namba moja. Ccm imewekeza na inatarajia ushindi, ila sio ushindi wa kura baada ya ushawishi wa kisiasa bali ni nguvu ya mwenyekiti wenu kupitia kofia yake ya amiri jeshi mkuu. Kutokana na tabia za mwenyekiti wenu, ccm sasa inajiamini kwani ina uhakika wa kufanya siasa bila ushindani kwa sababu mwenyekiti wake atatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kukibeba. Ila mbele ya umma ccm ni chama cha kikatili hata kama kinalazimisha tabasamu mbele ya umma.
Ila nisikudanganye chini ya mwenyekiti huyu ccm ndio itazidi kuwa dhaifu na pindi atakapotoka madarakani ikashindwa ushindani halisi. Halafu sio lazima ccm isiburi kote huko kwani hata dalili sasa zimejionyesha hasa kupitia chaguzi zilizopita ambapo ilishinda kwa mabavu mpaka ukawa ikasusia uchaguzi wa juzi. Uchaguzi wa juzi ccm ilishindana na vyama dhaifu ila idadi ya wapiga kura ilidondoka mno. Tafsiri yake ni kuwa ccm haina ushawishi tena kwa umma kwani sasa haifanyi siasa bali inaongoza kwa lazima. Pata picha unapofanya mapenzi na mwanamke uliyemchukua kibabe na akawa hana jinsi.
Uchaguzi huu wa kesho kutwa unaenda kuiabisha ccm kwa kila hali. Iwapo itashindwa itaingia aibu kwani ina mwenyekiti asiyekubali kushindwa hivyo si mshindani. Na iwapo itashinda kwa mabavu ndio itazidi kujiaibisha kwa umma na hapo itatoa nguvu sana kwa wapinzani mbele ya umma kwamba sasa ccm rasmi sio chama cha siasa bali kikundi cha kijeshi. Na huenda uchaguzi huu ukaichanganya sana ccm iwapo wapinzani wataweza kutumia mbinu za kisayansi kuimaliza ccm mbele ya umma. Ninaomba sana ccm itumie mabavu kupata ushindi kwani hilo ndio itakuwa kaburi lake na itabakia ikimtegemea tu mwenyekiti wake kama rais kuibeba.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!