Wanachadema Arusha vp tena?

Wanachadema Arusha vp tena?

Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.

Kwanza hakuna kitu kinachoitwa Corner ya Philips hapo A town! Na ni kijiwe kipi unachozungumzia kwani sana sana kuna taxi chache na boda boda zinazopaki hapo!
 
Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?


Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!

what r u trying to tell us here? that There's freedom OF speech but not freedom FROM the speech???
.....mpige basi, mana ndio habari ya M4C ...!!!
 
Shida tuliyonayo sasa ni wa kumpa nchi!! ni kweli ccm hatuitaki! Lakini je tumpe nani? kwa context hii fisadi mmoja akasema 'hata akigombea kwa kutumia chama kiitwacho JIWE atashinda!!' Kwa taarifa yako watu. hatuipendi cdm bali tumeichoko mizigo!
kwa mtazamo huu cdm wasitarajie makubwa!
Kwakuwa nao wameshaanza kuonyesha u-mizigo amini usiamin ule usemi wa mpoto unaosema 'waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwaamini!' utatimia. Kwa sasa kura za watz zinaelea hewani zinatafuta uwnja wa kutua! zimetake off from magamba airport! Its up to cdm or any willing political party to clear itself otherwise tutatua porini!!
Haya niyasemayo yatashuhudiwa live kwenye chaguzi! watu wataona bora kuwapigia kura manyani binafsi kuliko hayo makundi yenu ya malaika watoa roho!!
 
we div 5 mulugo ficha u div 5 sio sifa kudhibitishia umma U div 5 wako

CHADEMA inasambaratika ARUSHA au kwisha kwa kuwa gari la M4C halijapigiwa miluzi na makofi na vijana wa kijiweni tathimini yako iko ki div 5 zaidi
 
wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini arusha katika maeneo ya corner ya philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya m4c, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.

arusha ipi unayoizungumzia? Hv huoni aibu hata kusema uongo mkuu. Arusha hawategemei buku saba za lumumba
 
watu wamechoshwa na upuuzi wa lema. Sio philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, ngulelo, ngaramtoni ya juu, mgusero, mbauda, sakina, esso, ungalimited, matejoo kwa giriki, sanawari, mianzini, ilboru, kimandolu, tengeru, njiro, daraja mbili, sinon, sombetini, kwa mromboo, majengo, kisongo, sekei, moshono etc huku kote wamechoka kusikia kitu inaitwa chadema, wanasubiri uchaguzi tu wawape haki yao!!!

kakojoe ulale,, ndo unavyojidanganya hivyo? Shauri yako hao lumumba na buku saba zao wanawadanganyeni sana mkuu. Lakin mbona m/kiti wenu kikwete aliwaambia mambo mengine muwe mnachanganya na akili zenu?
 
we div 5 mulugo ficha u div 5 sio sifa kudhibitishia umma u div 5 wako

chadema inasambaratika arusha au kwisha kwa kuwa gari la m4c halijapigiwa miluzi na makofi na vijana wa kijiweni tathimini yako iko ki div 5 zaidi

mkuu watu km hawa tuwaamehe tu maana lumumba imewateka na buku saba zao. Na ndo maana wamejitoa hata ufahamu wao halisi
 
Kushangilia inategemea na mood ya siku. So usijali sana rafiki yangu tuko pamoja
 
Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.


Achaga basi kuleta upunguani wako hapa jukwaani mjinga wewe!
 
kesho jmos Man United inacheza na timu gani? nini utabiri wako?
 
Umetumwa? peleka upuuz wako lumumba fc!

Wapo wengi sasa hivi humu wanajifanya ccm mfu wakati wazee wao kule kijini au majirani zao hawajui umeme ni nini chai yao ya asubuhi uji wa chumvi nyambafu kabisa hawa.
 
Habari au maoni yangu yalikuwa na lengo la kuisaidia cdm, naifahamu sana ars, kwa kawaida gari za m4c huwa zinashangiliwa sana bila kujali nani yupo ndani zinapopita kwenye vijiwe vya cdm mfn philips, tengeru, mianzini, sanawari, ngulelo, shangarai etc, hivyo siku hiyo nilistahajabu sana. Ni advice ya bure kwenu cdm, kwani ndio chama wanategemea kukipa dola, lazima mkubali kukosolowa nyie sio malaika. narudia tena "cdm mkiipoteza arusha mmekwisha"
 
Watu wamechoshwa na upuuzi wa LEMA. Sio Philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, Ngulelo, Ngaramtoni ya juu, Mgusero, Mbauda, Sakina, Esso, Ungalimited, Matejoo Kwa Giriki, Sanawari, Mianzini, Ilboru, Kimandolu, Tengeru, Njiro, Daraja Mbili, Sinon, Sombetini, Kwa Mromboo, Majengo, Kisongo, Sekei, Moshono etc Huku kote wamechoka kusikia kitu inaitwa CHADEMA, wanasubiri uchaguzi tu wawape haki yao!!!

Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?


Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!

Jua tumechoka siasa za kipumbavu tuna shida na rais wa kutuwakilisha vyema tu
 

Mwanza kumekucha hii ni nukuu kutoka mwanza:

good. tuko pamoja mkuu. Huku mwanza tamko mtaliona ktk ITV tumefunga break wasaliti kujipitisha kwa jina la chadema

Mleta mada subiri jibu lako Sombetini...

Mawazo yako yanafanana na Avator yako.Tatizo viroba vinakusumbua
 
Kushangilia inategemea na mood ya siku. So usijali sana rafiki yangu tuko pamoja

juzi nilikuwa na vijana wa chdema maeneo ya sakina seven up wanahasira sana na mbowe na dr slaa kwa kumfukuza jembe lao zitto.wameapa hata lema awahonge viroba vingapi hawaandamani tena.wamechoka kufanywa misukule.hakika vijana wa arusha wamejitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom