Simchezo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 463
- 374
Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.