WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.

Ni sawa na mtu kuja kwako ukajificha chumbani na kumwambia mkeo au mwanao kuwa waseme kuwa haupo......kisha wewe mwenyewe unawageuka na kutoa sauti kuwa nipooooooo..............lazima wachafue boxer.....na inakatisha tamaaa
 
Tukiwambia mpeperusha bendera ya CCM; John Joseph Pombe Magufuli sio meneja bali ni nyapara tu; mnakasirika na kupiga kelele kama mabata yaliyoko kwenye "heat"!!

Jamani ili Magufuli afanye jambo lifanikiwe bila kusababisha hasara na usumbufu kwa taifa na jamii kwa ujumla; shurti awe "supervised"; ni lazima awepo mtu mwingine wa kumuongoza! vinginevyo ni lazima atachafua hali ya hewa kama sote tulivyoshuhuidia kwenye mizunguko yake ya kampeni; No wonder kuna baadhi ya wajumbe wa timu yake ya Kampeni za "Matusi" wamejikata kiaina; kimya kimya!!

Mshahara wa dhambi ya kuteuliwa "kimagumashi" ndio huo; Magufuli hatoshi; bado saana!! poleni sana watani wetu magambaz! Peeeepoz!!

:-D:-D:-D MWENYE MASIKIO NA ASIKIE EL ANANENA NA WATZ.

Allways nawaambia magu ni wakushikwa kwenye reli akiachwa lazima aparamie miti.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tulieni..Shirima tutampa ubunge wa kuteuliwa..ile ilikuwa ni strategic na well calculated move!!
 
Ni kweli hili jambo linakatisha tama sana. yaani watu wanatumia peasa na resources nyingi pamoja na muda kutaka kulikomboa jimbo wewe mgombea urais unakuja kuharibu kila kitu! Juzi walifungua kampeni pale Himo na kina Mbunge wa simanjiro alikuwepo na vigogo wengine. leo magufuli kaja kuharibu. kweli inakatisha tama!

Huyo ndiyo Magufuli. Haambiliki. Ni mbabe wa kutupwa. Halafi eti awe rais. Ili iweje?
 
Ni kweli hili jambo linakatisha tama sana. yaani watu wanatumia peasa na resources nyingi pamoja na muda kutaka kulikomboa jimbo wewe mgombea urais unakuja kuharibu kila kitu! Juzi walifungua kampeni pale Himo na kina Mbunge wa simanjiro alikuwepo na vigogo wengine. leo magufuli kaja kuharibu. kweli inakatisha tama!

Wewe ni mwenzetu huku UKAWA sasa unachosikitishwa na ya huko ni kipi? mbona umeamua kuwasaidia kutia huruma!!
 
haya ndiyo madhara ya kutokujiandaa wala kuandaliwa kuwa kiongozi manake mudaunavyozidi kwenda unazidi kuwa wa ajabu ajabu tu
 
ndio maana kila siku tunawaeleza hapa huyu jamaa ni mkurupukaji mkubwa hafai kua rais maamuz yake yanakosa busara anaeza itia hii nchi ktk matatizo makubwa sana iwapo atakua rais!
 
Magufuli ataingiza nchi vitani hata na kenya kuweni makini na mtu asie na mda wa kukaa na kutafakari jambo.Mke wake yuko wapi after all? Think big
 
Ila nitamuombea Makufuli nafasi ya uwaziri ktk serikali ya ENL, kwa jinsi anavotia huruma
 
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.

Duh kazi kweli kweli
 
Attachments

  • 1444385681043.jpg
    1444385681043.jpg
    13 KB · Views: 342
Ni kweli hili jambo linakatisha tama sana. yaani watu wanatumia peasa na resources nyingi pamoja na muda kutaka kulikomboa jimbo wewe mgombea urais unakuja kuharibu kila kitu! Juzi walifungua kampeni pale Himo na kina Mbunge wa simanjiro alikuwepo na vigogo wengine. leo magufuli kaja kuharibu. kweli inakatisha tama!

Kwa kweli hili jambo ni la hatari sana sio tu kwa wana ccm wa vunjo na K'njaro kama mkoa bali hata kwa ccm taifa. Nasema uongozi wa juu wa ccm taifa usipolishughulikia jambo hili kwa haraka ya ajabu huyu mgombea wao ataweza kukiweka chama pabaya sana. Kuna mambo mengi walichelea kuyakemea toka mwanzo wa kampeini na yatawagharimu. Pamoja na kauli zinazoonekana za kibabe za mgombea wao ni pamoja na kauli mbaya za wasaidizi wanaomnadi kwenye majukwaa yake na majukwaa mengine. Matumizi ya maneno na vibwagizo vya serikali yangu badala ya chama changu. Pia matumizi ya herufi M yenye mwenge katikati badala ya bendera ya chama yenye jembe na nyundo nadhani vyote hivi havina kibali cha chama.Sasa kama nilivyochangia kwenye uzi mwingine Magufuli anahitaji kura na hata ya Mrema anaitaka. Kosa ni kuacha kumnadi mgombea wa chama chake nd.Innocent aliekuwepo pembeni yake akimshangaa raisi wake mtarajiwa akimwombea Mrema kura toka kwa wanavunjo huku akiwaambia wanavunjo kuwa wasimchague Mbatia hafai hata kama alisikika akiwaambia wananchi msiponipa huyu wa ccm basi mchagueni Mrema na hata asipopita nikifanikiwa nitampa kazi. Mrema nae kwa sifa zile zile za mwenzie akasahau chama chake nacho kina mgombea uraisi wake nd.Mackmillan Lyimo na alishamwombea kura za uraisi kwa wana vunjo hao hao akazidi kumwombea tena kura zote za uraisi nd. Magufuli. Kitendo hiki hakina tafsiri zaidi ya kugawa kura na hakika wote hawapiti bali atapita Mbatia kwa kishindo. Haya na mengine mengi ndiyo yananifanya nizidi kumuunga mkono nguli wa siasa hapa nchini Kingunge kuwa kweli nguvu zimekata kwa chama hiki. MAGEUZI UKAWA. UKAWA LOWASSA.
 
Back
Top Bottom