WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

Ma dc, RC na waliokuwa wabunge nao wapo njiani kuja dar....yaan hali ni mbaya sana..

Yaani ni moto... sbb ana wabunge zaidi ya 150 wa CCM, hao ni wabunge ambao wako sasa hivi, sio retired MPs...!!! Wenyeviti CCM MIKOA, WILAYA, UVCCM, jumlisha madiwani CCM nchi nzima, na wana CCM mamilioni, 4U movement, bodaboda, Waalimu, wafugaji nchi nzima, wakulima, maaskofu, masheikh, machinga, wafanya biashara, waislam, wakristo...

Yaani sijui, maana UKAWA + Lowassa ni nguvu kuu ya Mungu, hakuna jinsi, CCM ni kifo kabisaa
 
Ni shiiidaaa. Wakitupia goli la mkono tunawalamba RED CARD na PENATI juu!!!

Akili kubwa hii.
 
Ni shiiidaaa. Wakitupia goli la mkono tunawalamba RED CARD na PENATI juu!!!

Akili kubwa hii.

Akili kubwa sana hii....Lowassa + Ukawa... usipime... wako Ma Dr. wa ukweli, Ma Prof. wa ukweli... wana kila kitu, na akili hadi zimezidi kawaida...!!!

Wee acha tu...
 
na huko watamkata tu, wanataka kupiga pesa zake watu wana dhambi sana. Ila tatizo ni yy mwenyewe JK kambeba kuanzia watu ndani ya CCM walikuwa hawataki awe PM. JK akasimama kidete akamteua kwa kulazimisha awe PM wafanye kazi pamoja maana alikuwa mratibu mtandao. Kashindwa kazi kaharibu, sasa ilibidi ajue tu huwezi kuharibu u PM cheo ambacho unafanya karibu majukumu yoote ya raisi alafu watu wafumbe macho wakukabidhi tema uraisi
ATULIE TU SASA MZEE WA WATU, KAZI ZIPO NYINGI SIO URAISI TU. ROSTAM ALIACHA UBUNGE NA MAMBO YAKE YANAENDA TU TENA HATA KUTUKANWA NA MAGAZETI HATUKANWI TENA

Ni kama vile unajitekenya na kucheka mwenyewe..mkuu bila lowasa..huyo jk wako asingekuwa rais..hujii kuwa ndo yeye alompigia campaign? ..amka saa ya ukombozi imewadia..lazima wang'olewe..wananchi tumechoka!
 
Mweleze ukweli huyo, hajui kitu...

Bila Lowassa, JK asingekuwa Rais wa nchi hii, hata ingekuaje...sasa Lowassa kaingia mwenyewe, tena kupitia UKAWA, Chadema, mbona CCM ishakufa...yaani
 
Yaani ni moto... sbb ana wabunge zaidi ya 150 wa CCM, hao ni wabunge ambao wako sasa hivi, sio retired MPs...!!! Wenyeviti CCM MIKOA, WILAYA, UVCCM, jumlisha madiwani CCM nchi nzima, na wana CCM mamilioni, 4U movement, bodaboda, Waalimu, wafugaji nchi nzima, wakulima, maaskofu, masheikh, machinga, wafanya biashara, waislam, wakristo...

Yaani sijui, maana UKAWA + Lowassa ni nguvu kuu ya Mungu, hakuna jinsi, CCM ni kifo kabisaa

Sawa sawa Nifahamisheni jamani WHO IS CCM ??????
 
habari za jumamosi,

sijui ccm itaponea wapi, yaani nguvu ya chadema, ukawa + lowassa ni hatari tupu kwa ccm, ccm inaenda kunyongwa wiki ijayo...

Hizi ni habari za uhakika, tukae kimya hadi mtakapoona wana ccm mamilioni wafuasi wa lowassa kwa makundi wakienda chadema, na kisha wananchi wasio wana ccm mamilioni wakijiunga chadema, na watapokelewa ktk sehemu mbali mbali, na kurushwa rasmi na vituo kadhaa vya tv, yaani sijui..

Daah, hii sasa ni noma...yetu macho..!!!

Tanzania mpya naiona, ileeeee october 2015...!!!

tetetetete mkuu naona waliokuwa wanakuponda humujukwaani kuwa unaleta uzushi sasa wamepoteana
 
Ni kama vile unajitekenya na kucheka mwenyewe..mkuu bila lowasa..huyo jk wako asingekuwa rais..hujii kuwa ndo yeye alompigia campaign? ..amka saa ya ukombozi imewadia..lazima wang'olewe..wananchi tumechoka!

haya bana, ni suala la muda tu, lets wait and see
 
tetetetete mkuu naona waliokuwa wanakuponda humujukwaani kuwa unaleta uzushi sasa wamepoteana

Wooote kimyaaa.....hahaaaaaaa...

Ukweli ukija uongo hujitengaaaa...kama habari ya Richmond ilivyotungiwa Lowassa, sasa mambo hadharani, mhusika ajulikana jana rasmi....

Sasa kuanzia leo, utaona mamilioni, kila mkoa, wilaya, kata, hadi vijiji wakiingia CHADEMA, UKAWA, na viongozi maelfu wa CCM wakienda CHADEMA, UKAWA.. ni plan ya kuinyonga hadi kufaa CCM... sio mchezo, chezea Lowassa political powers and muscles..!!! ni hatariii
 
Mlituthibitishia Lowassa anakuja kwenu na karibu ya nusu ya wabunge wa Ccm na W,viti wa mikoa. Haya tupeni idadi. Kampeni ndio hizooo weekend na majina ya wabunge na madiwani yoote tayari. Kwa hili Mbowe umewadanganya wenzio na kumtupa mshirika wako mkubwa kwa tamaa ya fisi. Mtakuja jutia uamuzi huu
 
Back
Top Bottom