isidingo 1961
Senior Member
- Nov 9, 2015
- 106
- 13
Ni kiongozi wa mateja aliokuwa akiwatuma waandamane kwenda makao makuu ya CHADEMA eti wanamuunga mkono Dr Mihogo!maneno ya mkosaji tu hayo,hana cheo chochote mpaka sasa na hatakuwa nacho ndani ya ccm
Yametimia Dr.Masaburi amekili kuwa CCM inaendesha siasa za Maji taka kwa wanachama wake.Pamoja Na ukongwe Wa chama hicho bado siasa zake ni za kupakana matope.Masaburi amewalaumu wanaccm wenzake kwa kuwasingizia wagombea kuwa wagonjwa, mafisadi n.k.Tunapenda kumkumbusha Masaburi hizo ndio siasa za CCM siasa za Hovyo hazina Sera Matusi Kuwasingizia uongo wagombea Unafiki Na kila aina ya siasa chafu.Hata Rostam Aziz aliwahi kuachana Na siasa za Tanzania Na kuziita "SIASA UCHWARA"
Unajua, unapopanda mbigili hufikirii kuwa na wewe utakuja kupita kwenye njia hiyo hiyo sometimes later. Siasa za majitaka zinapendeza sana wakifanyiwa wapinzani, ila wakifanyiana wao kwao ndo tunasikia haya malalamiko. Masaburi, Jerry Silaa na Sitta wana la kujifunza katika siasa za nchi hii.Ha ha ha nimecheka sana hivi masaburi wakati anaendesha siasa chafu zidi ya ukawa alidhani anahati miliki ccm?
Sasa ndo ajue kuwa mwosha huoshwa analakujifunza hapo na kuna mapopoma wengine humu ndani pia wamekuwa mstari wa mbele shangilia upuuzi unaofanywa na jeshi la polisi kupitia viongozi aina ya akina masaburi wasijue ipo siku yatawafika wao na kipimo hiki hiki wanachowapimia wenzao ambao wananyanyasika nao watapimiwa.
Ni swala la muda tu
Masaburi huyu huyu aliyesema watu wanatumia makalio kufikiri ???
Alisema wabunge wa Dsm wanafikiri kwa kutumia makalio, halafu na yeye akawa anataka kuwa mmoja wa wabunge hao wa Dsm! 😀
Unajua, unapopanda mbigili hufikirii kuwa na wewe utakuja kupita kwenye njia hiyo hiyo sometimes later. Siasa za majitaka zinapendeza sana wakifanyiwa wapinzani, ila wakifanyiana wao kwao ndo tunasikia haya malalamiko. Masaburi, Jerry Silaa na Sitta wana la kujifunza katika siasa za nchi hii.