WanaCCM Arusha, hii ni dharau kwa Katibu Mkuu (Kinana)

WanaCCM Arusha, hii ni dharau kwa Katibu Mkuu (Kinana)

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Tangu wiki iliyopita kinana amekuwa hapa mkoani Arusha kukagua shughuli za chama chake na kuangalia uhai Wa chama cheke kinachohusiswa na ujangili na ufisadi sitaki kujikita sana na kilichomleta hasa hapa mkoani Arusha maana hata usalama Wa tembo Wetu sijui..

Ninachotaka kuzugumzia ni mahudhurio hafifu ya wanachama wa CCM kwenye uwanja huu wa sheikh Amri Abeid yaani nimefika nikajiuliza hivi hata kama angetoa amri kuwa Mabalozi na wake zao lazima wahudhulie mkutano huu si wangejaza uwanja kuliko aibu waliyoipata kuleta ngoma za kimasai na kununua wasanii wa hapa Arusha..

Na wanachama kwanini mnawaibisha Katibu wenu kiasi hiki kama hammhitaji si mgemweleza...akabaki Ngorongoro...

Updates:

Niko uwanjani nitawaletea kitakachokuwa kinaendelea...

Kwa sasa DJ Mchafu anatumbuiza..
 
Tunaleta watu kutoka huku ngaramtoni, monduli na kwingineko. Ungaltd na sehemu nyingine watu wanataka hela sasa wameambukiza kila mahali watu wanataka hela.

Mathias Manga anatusaidia kuleta watu kutoka huko manyire , Nduruma.
Hali ni tete kidogo tulikuwa tuanze saa tano lkn watu ndiyo shida ikabidi katibu wetu akafungue barabara ambayo haijakamilika kule mwanama.

Tunakusanya watu kwa fuso, kirikuu, hiace, punda, trekta kila kitu tunakuja huko mkuu

Wale wa toyo jamani muendelee kujitokeza 15,000/= na Full Tank kwa kila toyo.
Jitokezeni kwa wingi
 
Ni afadhali yeye anatembea na kujionea hali halisi.....itamsaidia yeye na Chama chake kufanya tathmini halisi na kuchukua hatua zinazostahiki.....hata wakiwa wapinzani mwaka kesho atakua ameshaanza kujiandaa kisaikologia kwa hali halisi wanayoikuta na kuiona huko.....
 
huyu mzee anataka kupandisha kisukari bure tu , tulikwisha mtahadharisha mapema sana kwamba ARUSHA hakuna ccm ; haya sasa amevuna aibu !
 
Lema si anajifanya muhuni, sasa hivi atapambana na muhuni mwenzake mtoto wa mjini , bilionea wa mawe mzawa wa Arusha Matias Manga. Uchaguzi October arusha itawaka moto
 
Ukizoea kushangiliwa uwanjani hala ikatokea siku ukaona hakuna anyekushangilia unaweza kufa kwa presha.
 
Huku Manga, huku Judtin Nyari, pale Papa King, kushoto Askofu Molell, hapa kati Mrema wa Impala, Naura spring, Team ya ccm imekamilika inasubiri October irudishe jimbo kwa wazawa wa arusha
 
Tangu wiki iliyopita kinana amekuwa hapa mkoani Arusha kukagua shughuli za chama chake na kuangalia uhai Wa chama cheke kinachohusiswa na ujangili na ufisadi sitaki kujikita sana na kilichomleta hasa hapa mkoani Arusha maana hata usalama Wa tembo Wetu sijui..
ninachotaka kuzugumzia ni mahudhurio hafifu yawanachama wa CCM kwenye uwanja huu Wa sheikh Amri Abeid yaani nimefika nikajiuliza hivi hatakama angetoa amri kuwa mabalozi na wake zao lazima wahudhulie mkutano huu so wangejaza uwanja kuliko aibu waliyoipata kuleta ngoma za kimasai na kununua wasanii wahapa Arusha..
Na wanachama kwanini mnawaibisha Katibu wenu kiasi hiki kama hammhitaji si mgemweleza...akabaki Ngorongoro...
updates
Niko uwanjani nitawaletea kitakachokuwa kinaendelea...

kwasasa DJ Mchafu anatumbuiza...

ImageUploadedByJamiiForums1426945194.792332.jpg

Huyu ni mmoja wa makada wa chadema anayerejea CCM hii leo
 
Kamanda tupia basi japo kapicha nasi tuone huo umati
 
Lema si anajifanya muhuni, sasa hivi atapambana na muhuni mwenzake mtoto wa mjini , bilionea wa mawe mzawa wa Arusha Matias Manga. Uchaguzi October arusha itawaka moto

Comedian wa JF unaijua chuga unaisikia?
Mathias kaingia choo cha kike sasa hivi ubilionea umeisha hana mia.

Lowassa kammaliza na ataisha jumla. Ushauri tulimpa sana aachane na siasa hakusikia.
 
Acha uzushi niko hapa uwanjani. Mahudhurio sio mabaya kabisa. Na watu bado wanaendelea kuingia.
Subirini baada ya muda kidogo.mtaziona picha.
Huyu mleta mada amelewa bangi.
 
Tushamchoka kazi yake kuzurura na kuwasema wanzake vby akome
 
Crashwise ili uwe unaeleweka ushabiki weka pembeni tupia vielelezo vya uchache wa watu.
 
Huku Manga, huku Judtin Nyari, pale Papa King, kushoto Askofu Molell, hapa kati Mrema wa Impala, Naura spring, Team ya ccm imekamilika inasubiri October irudishe jimbo kwa wazawa wa arusha

kwa Akili yako ndogo unadhani pesa inaweza kuwanunua watu waliojitambua kama wana A-town? pole zako we we gamba
 
Back
Top Bottom