Wanabidii, ni google group ambayo inaongoza kwa kuwa na wanachama wengi makini na wasomi, na mijadala inayo endelea kule ni makini kwa mtu ambaye amezoea midhaa ya JF kule hawezi kuwepo maana hatatoka kapa au kujiona hana pwaya kuwa kule...
Naskia ni hackers walikubuhu, kuweni makini.
Si unajua watu wanacheza na IT kutapeli wenzao.
Naskia ni hackers walikubuhu, kuweni makini.
Si unajua watu wanacheza na IT kutapeli wenzao.
Wanabidii, ni google group ambayo inaongoza kwa kuwa na wanachama wengi makini na wasomi, na mijadala inayo endelea kule ni makini kwa mtu ambaye amezoea midhaa ya JF kule hawezi kuwepo maana hatatoka kapa au kujiona hana pwaya kuwa kule....
Naona lengo la huyu mwenye thread lemebadilika, lengo lake ni kutaka watu waondoke kwenye hiyo group na badala yake watu wanataka kwenda kuona kuna nini huko.... wote mtakao pata bahati ya kujiunga na wanabidii nina hakika hakuna hatakaye taka kujiondoa kule kwa jinsi watu walivyo makini na hoja zao.BUSWELU USIJITOE.....Kwanza chunguza kama wapo wanamna hiyo hapo ofisini kwako....Waelimishe kwanza ....usiwe na Tabia ya Kuzira au kususa hakusaidie bali kunabomoa!
Nadhani unazungumza kitu usicho kijua wewe.Kyoma nawewe bwana! Yo! Wanabidii ni forum ya "COPY and PASTE"!
Tell her/himAchana na maneno ya kusikia.. kule watu wanaongea hoja za msingi.. jiunge ujionee ! wakikupotezea u can always unsubscribe
Karibu sana mkuu.Ndo kwanza mnanifungua macho na masikio,ngoja nikacheck wana nini kipya.
Siyo kweli mkuu, kama wewe ni mwana IT huwezi kubaliana na uvumi huo.Naskia ni hackers walikubuhu, kuweni makini.
Si unajua watu wanacheza na IT kutapeli wenzao.
Hivi unajua unacho kizungumza mkuu wangu? pole sana na uelewa wako unahitaji kubustiwa, njoo wanabidii utaelimika tu mkuu wangu , karibu sana mpwa!Naskia ni hackers walikubuhu, kuweni makini.
Si unajua watu wanacheza na IT kutapeli wenzao.
Tatizo ni kwa nini mnatuma sana email kwenye email adress za watu kama wendawazimu. kwani mkituma email moja mnadhani huyo mliyemtumia hawezi kuwaelewa? Mimi nimeathiriwa sana na hizo email zenu. Please....Please....Please.... nawaombeni mniache na maisha yangu!!Tell her/him