Huyo mwingine sijawahi kumuonaWamekutanaView attachment 812951
Huyo mwingine sijawahi kumuona
Sugu mwenyewe nilimsikiaga tu ile nyimbo "wanakuita sugu,suguuu"
Nimamfahamu vizuri sura kwa faiza juzi tu hapa
Mkuu.Hata kwa kusoma comment za hapo juu hujamjua ni nani atakua??
Baloz dollar soulMkuu.
Wakati wake sikua nasikiliza nyimbo .nimeona majina mawili sa sijui which is which