Wana Yanga SC muanze Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwani huenda 'Viongozi' wenu baadhi wakayaanza Maisha mapya Jela Segerea

Nadhani unanitukana ..unataka nikuripoti?! ' navuja' maana yake Nini?

Kwani 'Tarakimu' hii ya ID yako 1954 inaonyesha 'Jinsia' yako? Halafu mbona unakuwa na 'Hasira' sana Mkuu au Bahari ya Sham ( K ) inatiririsha?
 
Morrison alikamatwa na polisi juzikati na kupelekwa kituoni kwa mahojiano, baada ya kuandikishwa maelezo kutia sain ya kuyakubali maelezo yake pale tayari kilakitu kilipatikana. Tayari sain yake itakwenda kulinganishwa na ile aliyo mwagika katika mkataba wa GSM. Mbumbumbu mkiambiwa Yanga ni Taasisi kubwa hamwamin Sasa subirini. Waalimu wa Morrison apa Tanzania ni Mbumbumbu fc ambao hawajui wanancho kifanya.
Exactly ndicho tulicho kifanya subilini tumuonyeshe kazi hii ndio yanga bwana
 
Morrison alikamatwa na polisi juzikati na kupelekwa kituoni kwa mahojiano, baada ya kuandikishwa maelezo kutia sain ya kuyakubali maelezo yake pale tayari kilakitu kilipatikana. Tayari sain yake itakwenda kulinganishwa na ile aliyo mwagika katika mkataba wa GSM. Mbumbumbu mkiambiwa Yanga ni Taasisi kubwa hamwamin Sasa subirini. Waalimu wa Morrison apa Tanzania ni Mbumbumbu fc ambao hawajui wanancho kifanya.
Mipovu ya misimu mingapi vle PATUPU
 
Kwa kauli ya yule eng. Wa gsm ni wazi Morison hakusaini yanga kwani amesema kama Simba watamtambulisha Morison ni wazi watakuwa wao ndio waliwahujumu mimi nilitegemea angesema kama Simba wakimtambulisha Morison wakati wana mkataba naye wangewachukulia Simba hatua za kisheria
 
BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA

Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya kazi ya uchunguzi iliyofanywa na Jeshi la Polisi kumalizika.

Kiungo huyo mshambuliaji kutoka nchini Ghana aliishitaki Young Africans kwa TFF, akidai kuwa saini yake imefaniwa fojari katika mkataba wa miaka miwili, ambao klabu hiyo yenye maskani yake kwenye makutano ta mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam, imeuwasilisha TFF na Shirikisho la kandanda duniani (FIFA).

Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Elias Mwanjala amesema kwa sasa wapo katika hatua za mwisho za uchunguzi wa suala hilo na hawana haja ya kuwa na papara ili kupata majibu sahihi.

Mwanjala amesema awali walipanga kutoa uamuzi wa suala hilo mwishoni mwa mwezi Julai na baadaye kupeleka mwanzoni mwa mwezi huu, lakini walishindwa kufanya hivyo kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wao.

globalpublishers

Kuna Watu walidhani ule 'Uhuni' wao waliokuwa wakiufanya wakati JK Yanga Mwenzao akiwa Madarakani basi na kwa JPM huyu watauendeleza tu.
Watu waligushi sahihi yake lakini cha ajabu akaenda kwa Engineer ili wavunje mkataba. Strange indeed!
Atakuja shangaa watu wali record kila kitu. Aje aikane clip ya mazungumzo yake kutaka wavunje mkataba. Badala ya mpira, atashinda kortini kutoa ushahidi.
 
Kwa kauli ya yule eng. Wa gsm ni wazi Morison hakusaini yanga kwani amesema kama Simba watamtambulisha Morison ni wazi watakuwa wao ndio waliwahujumu mimi nilitegemea angesema kama Simba wakimtambulisha Morison wakati wana mkataba naye wangewachukulia Simba hatua za kisheria
Hilo lipo TFF tusubiri Jumatatu.
 
Back
Top Bottom