Wana Ukonga tuwe makini, Makongoro Mahanga anagombea tena

Wana Ukonga tuwe makini, Makongoro Mahanga anagombea tena

Mwaipaja ima

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
404
Reaction score
76
Bila kupepesa mdomo ktk wabunge wasio faa kuendelea kupata nafasi ya kuwa tena wabunge Makongoro mahanga anaongoza sifa zote anazo,
(1) Mvivu
(2) Ana dharau sana
(3) Mwongo,

Wana Ukonga mjihadhar na MTU huyu hatari, na ubunge wake wa mtutu wa bunduki, sasa iv ndio kaanza na mbinu zake zile zile za kukusanya watu kwenye njaa na kuwakutanisha kwenye baa flani flan usiku na kufanya eti yy anaita mikutano,milango ikiwa imefungwa na Counter na jiko LA baa likiwa kazini na mkutano wke unsendelea.

Ni hatar MTU huyu jamani tushirikiane kuakikisha hapati ubunge Ukonga safar hii Vingunguti, Tabata,Segerea , nk tuwe makini na MTU asiye faa huyu pls pls pls
 
Hawa walioupigia kura ule muswada hatarishi kwa Taifa letu,hatufai hata kutubebea maji.
 
Bila kupepesa mdomo ktk wabunge wasio faa kuendelea kupata nafasi ya kuwa tena wabunge Makongoro mahanga anaongoza sifa zote anazo, (1) Mvivu (2) Anadharau sana (3) Mwongo, wana Ukonga mjihadhar na MTU huyu hatari, na ubunge wake wa mtutu wa bunduki, sasa iv ndio kaanza na mbinu zake zile zile za kukusanya watu kwenye njaa na kuwakutanisha kwenye baa flani flan usiku na kufanya eti yy anaita mikutano,milango ikiwa imefungwa na Counter na jiko LA baa likiwa kazini na mkutano wke unsendelea,ni hatar MTU huyu jamani tushirikiane kuakikisha hapati ubunge Ukonga safar hii Vingunguti, Tabata,Segerea , nk tuwe makini na MTU asiye faa huyu pls pls pls

Nilifikiri ni mbunge wa Jumbo la Segerea?!
 
Hv huko mjini bado ccm wananguvu? Hakikishen mjini kote hakuna gamba kwenda mjengon
 
nashangaa sana wana dsm kukumbatia magamba. badilikeni sasa
 
Mwaka huu wakuu DSM yote hakuna GAMBA litakalonusa ubunge, wabunge wote watakuwa CHADEMA , CUF , NCCR na NLD.
 
UKIPEWA PESA NA CCM CHUKUA!!...
LKN KUMBUKA UPIGAJI KURA NI SIRI YAKO.

Chagua upinzani kwa mabadiliko ya kweli!!
 
Mahanga hafai kabisa, ndiye kaifanya Ukonga kiendelee kuwa duni, kwa muda wote' akiwa mbuge wa Ukonga hakufanya jambo lolote la maana!

...Maendeleo ya jimbo la Ukonga yapo nyuma Sana, miundo mbinu kama barabara ni mbovu, hakuna huduma za kijamii kama vituo vya afya, mashule, huduma ya Maji hakuna, vituo vidogo vya polisi n.k
 
Tuache ushabiki wa vyama kwenye hli tuungane tumuangushe huyu mwizi wa haki ya wapiga kura
 
Makongoro ni mbunge wa Segerea sio Ukonga. Mbunge wa Ukonga alikuwa marehemu Mwaiposa. Hata afanye vikao vyake harudi tena bungeni baada ya kutuambia ameshinda uchaguzi kwa pesa zake.
 
Vijana jiandikisheni tutoe haya magamba yanaleta Aibu hapa mjini...
 
Basi nafikiri watu wa jimbo la Segerea wana nafuuu kuliko Jimbo la Ukonga utafikiri hawan Baba wala Mama hakuna Barabara, Maji vituo vya afya n.k. watu wa Ukonga tuchague mwakilishi wa kweli
 
Back
Top Bottom