DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wakuu
====
kwani nyie mnasemaje?
Akizungumza na wanachama wa jukwaa la vijana na wanawake nchini ndg. Naseem Makombe Katibu wa vyuo na vyuo vikuu TK-ΜOWEMENT Naseem Makombe amewataka wana TK MOVEMENT kuumunga mkono Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kutokana na kazi kubwa zinazoendelea kufanyika na Serikali ya awamu ya 6.
Chanzo:Habari Mpya