Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,009
Sisi tukaze tarehe 8, Uto akae...
Najua Azam atafanya kitu pia mwezi wa 4.
Bado ujachema 😂😂😂
Sisi tukaze tarehe 8, Uto akae...
Najua Azam atafanya kitu pia mwezi wa 4.
Tutarudi kukumbushana hapa.Bado ujachema 😂😂😂
Tatizo lako hutaki kukubali ukweli, thread zote za malalamiko JF ni wenzako Kolo FC.Wengi wanaolalamika ni Uto, wanajifanya Simba.