Wana Sesere kutoka Ukraine.

Wana Sesere kutoka Ukraine.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,235
Nakumbuka utotoni kuona Wana Serere ambao unazungusha Ufunguo na wao wanaanza kucheza.

Ila hapa unawaona Wana Sesere wakiwa hai na wazima. Wanajitahidi hawa Watoto.

Last edited by a moderator:
Cute 🙂

Nilipokuwa mdogo ile "fumbua macho" tu nililetewa mwanasesere aliyekuwa rangi ya kahawia ilokoza, kibotwa botwa, macho ya hudhurungi na nywele fupi.

Hiyo ndio picha ya mwanasesere kichwani mwangu.

Hii ya mfano wa Barbie, mweupe, macho ya samawati, nywele hadi mgongoni na mwembamba kaa njukuti naona mwanasesere feki, wa dunia ya Wazungu sio yangu 😀
 
Gaijin,

Wanasesere wamekuwa wanabadilika sana kutokana na kubadilika kwa dunia. Kwa mfano Barbie, sasa kuna Barbie mweusi na ukiwaangalia wote, wamekondeana na kubaki vifito tu maana dunia ya sasa wanatawala Mashoga na Mashoga hawapendi maumbo ya Kike (curves shape) na wanataka STRAIGHT kama umbo la Mwanaume.

Sijui kama unamkumbuka huyu ambaye ulikuwa unazungusha funguo na baadaye anaanza kucheza na kimziki kinapiga?

catphoto.jpg
dollmb2.jpg

Ngoja nikuwekee Video ya Dolls wakifanya vitu vyao, hivi vimitambo sijui kama wanatengenza bado.

Nyongeza: https://www.youtube.com/watch?v=io6H-GxBvLM

Enzi hizo wanasesere wanawakilisha uhalisia unaoweza kufikiwa na watu wengi, wakati sasa Barbie unaambiwa vipimo vyake ni unrealistic kutaka kuvifikia

Cheki toto hilo (huyu ndo kama nilokuwa nae, kasoro nywele tu za huyu "ndefu")

3130_pussycat_black_baby_doll.  jpg

Hao music box dolls sijui kama wanafanywa tena sasa. Music boxes nyingi nizionazo huwa na vitu vyengine ila si dolls.

Mimi nakumbuka dadaangu alikuwa nayo ya Kijapani na kimono chekundu kaa hii,

Last edited by a moderator:
Barbie wa sasa wanasababisha tu watoto wanakonda na kuishi kwa shida maana dirishani akichungulia anaona tangazo la KFC, huku anataka kuwa kama Barbie.

Enzi hizo watoto wanatunzwa kwa Kanuni ya Afya njema/Mama Lishe sijui? Tozo likiwa Nene maana yake lina afya njema ila sasa hivi unaweza kukuta mifupa inatembea na usijuie kama ni tajiri au masikini hadi akukaribishe kwao au uone gari analotembelea au Kutembezewa. Wakati ni ukuta, nothing you can do.
Enzi hizo wanasesere wanawakilisha uhalisia unaoweza kufikiwa na watu wengi, wakati sasa Barbie unaambiwa vipimo vyake ni unrealistic kutaka kuvifikia

Cheki toto hilo (huyu ndo kama nilokuwa nae, kasoro nywele tu za huyu "ndefu")

3130_pussycat_black_baby_doll.jpg
 
Back
Top Bottom