calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 274
Pwani sasa iko kwenye national agenda au news tuseme kutokana na mauaji ya Rufiji delta.
Pwani nazungumzia:
KISARAWE
MKURANGA
KIBAHA
RUFIJI
MAFIA
BAGAMOYO
Hao watu wa TANGA LINDI na MTWARA wataanzisha threafs zao
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara na wasomi wapo na ardhi ipo na maji yapo a watu wapo
LAKINI.....
licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Kila.kukicha wabunge wai wanalilia handouts toka serikalini wananchi nao ndio hivyo hivyo.
Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?
Kwa ninj wasiji organise kama.wao kujipelekea maendeleo badala.ya kusubiri serikali?
Je hawana powerful lobbyists?
Je hawana watu wenye power??
Je hawana watu wenye pesa??
Je hawana wasomi????
Kwa nini hatujawahi jusikia mikutano ya investment na developmemt ya wana KIBAHA au MAFIA au RUFIJI DAR??
Wana JF wenyeji wa mikoa hii wanaweza kuzungumza kutokana na experience yao