Uko sehemu gani nije?
kwani we mwalimu wake wa tuition best...ye anasoma sijui anataka kuchamshwa na nini....
Nataka niwe mwalimu wake wa kujitolea...sasa sijui kapotelea wapi tena
Atakua yuko kujisomea na wanafunzi wenzie msubiri...chezea teacher wa kujitolea uko vizuri...