Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,408
- 30,409
Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.
Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha, Moro au kwingineko anakuja tuna spend night bila kikwazo chochote.
Huyu mchepuko wangu anajistahi na ni mpole hana makeke ya ubishoo mitaani.
Na ni mzuri, mzuri haswa.
Tatizo.
Jamani hili tatizo lake linanitia unyonge sana.
Bibie ana mdomo unanuka haswa, hata ukimpiga tongue kiss inabidi ujishauri.
Na tatizo la pili ni huko kwenye tunda la uhai, kunatoa harufu inakera, ukipiga kimoja ushirikiano na mzee akilala unakuwa hamna, ukikumbuka harufu zote mbili.
Kwa wanawake mliomo humu jamani nipeni ushauri nisikaache haka katoto kazuri.

Wewe una busara sanaa! Unatamani kumsaidia huyo binti apate mtu sahihi wa kumuoa mara baada ya kupona tatizo lakeMimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.
Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha, Moro au kwingineko anakuja tuna spend night bila kikwazo chochote.
Huyu mchepuko wangu anajistahi na ni mpole hana makeke ya ubishoo mitaani.
Na ni mzuri, mzuri haswa.
Tatizo.
Jamani hili tatizo lake linanitia unyonge sana.
Bibie ana mdomo unanuka haswa, hata ukimpiga tongue kiss inabidi ujishauri.
Na tatizo la pili ni huko kwenye tunda la uhai, kunatoa harufu inakera, ukipiga kimoja ushirikiano na mzee akilala unakuwa hamna, ukikumbuka harufu zote mbili.
Kwa wanawake mliomo humu jamani nipeni ushauri nisikaache haka katoto kazuri.
Ukiacha tatizo lake, bibie katulia sana na ni mpole.Wewe una busara sanaa! Unatamani kumsaidia huyo binti apate mtu sahihi wa kumuoa mara baada ya kupona tatizo lake
Watu tumeumbwa na madhaifu mengi.ngoja na sisi tuje kusemwa madhaifu
🤣🤣
Wanaume miaka nenda rudi tuna matatizo hilo nakiri.Kwanini unahangaika na michepuko? Mkeo nae ananuka? Kwanini usitulie na mwenza wako tu?
Kaa na mkeo huyo mchepuko atakupa ukimwiWatu tumeumbwa na madhaifu mengi.
kinyoronyombi ndo dawa gani?Pata kinyoronyombi kiboko ya mdomo,meno na fizi siku3 tu ashapona.
ni dawa ya majani ya mti adimu sana, kiboko ya vinuka mdomo. Kuipata ndio kasheshe.kinyoronyombi ndo dawa gani?
Nisaidie jinsi ya kuipata mkuuni dawa ya majani ya mti adimu sana, kiboko ya vinuka mdomo. Kuipata ndio kasheshe.
nitaifatilia nikiipata nakutagNisaidie jinsi ya kuipata mkuu