General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,867
- 2,198
Habarini za siku nyingi wapendwa wadau wenzangu wa kilinge chetu hiki kilichotukuka, naomba niwatakieni heri na baraka nyingi sana za mwaka mpya wa 2017, nilikuwa nje kdg ya ulingo huu kwa sababu mbalimbali za kimajukumu japo nilikuwa nachungulia humu kila nilipopata ka nafac..... nawashukuru pia wale waliokuwa wanaulizia juu ya ukimya wangu na wengine eti wakitaka nitupie ka uzi matata ka kufungia mwaka ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa(nilicheka sana cku niliposoma kale ka uzi).... Leo nimekuja na habari hii japo ni ndefu sana naomba muisome ivo ivo kwa uvumilivu, habari iko hivi.
Kama wengi wanaonifahamu kwa kweli hili siwezi kulificha, nina michepuko mingi sana na % kubwa ni wake za watu japo na wasiokuwa wake za watu pia ninao, ktk hao wasiokuwa wake za watu yupo mmoja huyo ambae ndio chanzo cha uzi huu...... huyu Jesca jamani(sio jina lake) ni mzuri kwa kweli ana ka umbo flani hivi ka kupangia bajeti, ana macho hayo yani kila ukimtazama unahic labda ametoka usingizini au ana usingizi mzito ni mpole sana, na kwny suala la kugegedana ndo huwa ananiacha hoi akitumia ile staili ya kuukalia mgegedo halafu inakuwa kama vle papuchi inaufanyia masaji hivi.... yani gegedeo linakuwa linaminywa minywa kwa mle ndani..... weeeeeh ni raha tupu hadi unasahau hii hali ngumu ya hapa kazi tu.
Mwezi wa 11mwaka jana wife alimbananisha kwny kona moja mbaya sana huyo Jesca wangu na akampa kipigo kizito hadi kumvunja vidole viwili vya mkono wa kushoto, kumtegua mguu na kumuharibu vibaya sana sura..... hadi nikahic labda alitaka kumteka akamng'oe meno na kumnyofoa kucha(nilikumbuka lile tukio la kupotea kwa yule jamaa mwny ubini wa jina la muda wa lunch)jamani ile sura nzuri ya mchepuko wangu ilikuwa imevurugwa vibaya sana hadi nikadhani labda nilioa mtu maalumu wa kitengo cha kutesa wahalifu hadi wakubali makosa hata kama hawakuyatenda, wife alikamatwa akawekwa ndani ilikuwa siku ya jumamosi na j3 akapandishwa kizimbani huku Jesca akiwa bado yupo mahututi hospital, kesi ilisomwa na mi nilikuwepo hapo mahakamani..... akanyimwa dhamana, wakati anarudishwa selo kusubiri kurudishwa gerezani alisogea hadi nilipokuwa nimesimama halafu akaniambia kwa sauti ya chini iliyomeza hasira kubwa lakini niliyoickia vzr akasema "P....(hapo alinitaja jina, kwa jinsi ninavomfahamu ni kwamba akiniita kwa jina ujue kuna jambo serious sana anataka kuniambia)HAKIKISHA SIPELEKWI GEREZANI KWA AJILI YA YULE MAL*YA WAKO, NA KAMA NITAPELEKWA..... BASI UJUE NIKITOKA HUKO NITAKUUA WEWE HALAFU NITAMMALIZIA NA YEYE" nikajua kabisa huu sio mkwara huyu anamaanisha anachokisema, basi nikafanya makeke ya hapa na pale huku nikiutumia vzr mwanya wa kufahamiana na baadhi ya mahakimu akiwemo anaesikiliza ile kesi..... hadi akaachiwa pale pale mahakamani kwa masharti ya kwamba nimrudishe siku ya kesi.
Nilijitahidi sana kugharamia matibabu ya Jesca hadi akawa vzr na nikautumia mwanya huo kumuomba afute kesi, na bahati nzuri sana alikubali, nikawasiliana na yule Hakimu anaesikiliza kesi nikamuelezea hatua tuliyofikia nae akasema siku iliyopangwa kuckiliza tena ile kesi ataifuta kabisa....... na ndo kilichofanyika.... sasa kilichofuatia baada ya hapo ndo kinachofanya nihisi hii harufu kali ya U DIKTETA UCHWARA nyumbani kwangu.
1-eti ameanzisha ka utaratibu ka kunilazimisha tuwe tunaoga pamoja, na huko bafuni ndo huwa ananikagua kama vile tukojeshini, sasa cjui huwa ameniwekea alama kila ninapotoka.....!!
2-ni lazima aninyoe yeye mav*zi na anakariri kabisa ya kwangu huwa yanaota baada ya muda gani, muda anaoujua yeye yakiwa bado hayajaota kwa level ile ile anayoijua basi ni kesi nyingine anajua eti nimenyolewa na Jesa (kwa kweli bado cjaachana nae maana nikikumbuka kale ka staili ka PAPUCHI yake kulifanyia masaji GEGEDEO inakuwa ngumu sana kumuacha)
3-Hili ndo gumu zaidi kaja nalo juzi tu hapa... eti anataka nimpe PASSWORD zangu za facebook na Jf!!
4-Nikiwa nagegedana nae sasa hivi sitakiwi kuonesha staili mpya, maana anahic eti naweza kuwa nimeitoa kwa Jesca!
5- hii ndo kali zaidi.... j'mosi iliyopita nilirudi home niko 4GB, wakati nimelala lakini kabla cjapitiwa na ucngizi nikamuona anaamka taratibu sana akaniangalia usoni kwa muda mreeeeeeeefu..... alipojihakikishia kuwa nimelala nikamuona ananinusa kwny li GEGEDEO.......... yani masharti yamekuwa meeeeeeengi hadi kero jamani utafikiri tunaishi kambi jeshi.
Ninajiuliza sana na pia nawauliza wadau wenzangu wa hili jukwaa letu pendwa la MMU hivi huyu wife wangu yuko sahihi kweli kwa hiki anachokifanya au....... na vp kuhusu huyu Jesca wangu na kale ka staili ka masaji ya kwny gegedeo nimuache au.... naomba kuwasilisha.