Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini @Lara one Heaven Earth miss chagga
The word "date" means many different things so maana yake atakuwa kailenga mahala...muelewe tu
Hapo kuna mengi..labda kweli ni bikra na anakutunzia hiyo heshima au anaogopa (hajiamini) kukupa kuhofia utamkimbia au pia hakuna kitu ila anasubiri mfanye mkiwa ndani ya ndoa
Wewe mwenyewe unasita kutupa ufafanuzi unaoeleweka...
The problem could be wit u.
Huyo bana kuna kitu anaficha, Pengine hata sehemu zake za siri haziko sawa (kubwa/mbaya). Kifupi hapo unauziwa Mbuzi kwenye gunia.
ku-date ndo nini?
Ukaguzi muhimu aisee!!Kwa Maana hio, Ni lazima niangalie nini kiko ndio, ili tuweze Kuoana.
Ukaguzi muhimu aisee!!
Unaweza kujikuta umeuziwa mbuzi kwenye gunia
shake well before use....