Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
ufafanuzi wa "kudate" tafadhali.
endelea kuvumilia tu coz bado sku 17 mwaka uishe? ila je na huyo dada ajawahi kutumika kabisa kama bado tulia tu
Himidini ni mimi naleta ugumu kuelewa ama? Kwani "kudate" kunafika hadi huko??
Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini lara one Heaven Earth miss chagga
Mwanzon mwa 2014 si keshokutwa tu subirisheni.....
nadhani kafanya maamuzi sahihi na sion ubaya
Mimi nitamuelewa kama akiniakikishia 100% yeye ni bikira la sivyo lazima kieleweke.
Inawezekana huyo mchumba wako anahisi akikupa mambo utamkimbia. Na wewe pia inaonekana huna nia nae, ina maana ukitaka kuoa mpaka u sex ndio uoe? Pia ina wezekana asiwe na bikra ila akawa kajifunza kwa yule aliyemtoa alimpa penzi akamkimbia. Sasa wewe unatakiwa kumchumguza tabia na mienendo yake pamoja na tamaa na pia usafi. Hayo ndio ya msingi.