Wana MMU, Nahitaji Ufafanuzi Hapa.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini lara one Heaven Earth miss chagga
 
Last edited by a moderator:
testing the drive before you marry is an offense, ila muulize kama bado bikra ila kama siyo bikra lazima utest ati hata kwa kupima oil
 
endelea kuvumilia tu coz bado sku 17 mwaka uishe? ila je na huyo dada ajawahi kutumika kabisa kama bado tulia tu

Hapo ndio nashindwa kabisa, Maana wengine wanajidai ohooo !!! Mpaka unioe kumbe ameshakua balun.
 
^^
Una haki ya kuwa na wasi wasi maana matarajio ya vijana wengi ni kumjua mwenza kabla ya ndoa
..
LAKINI PIA RUDISHA MOYO
Kama una uhakika na historia ya maisha yake basi uwe na imani kuwa ni mwanamke anaejistahi na kujiheshimu. Na zaidi utamu wa unachotarajia ndio silaha yake ya kukutunza dhidi ya wenzake.
^^
 
Himidini ni mimi naleta ugumu kuelewa ama? Kwani "kudate" kunafika hadi huko??
 
Last edited by a moderator:
Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini lara one Heaven Earth miss chagga

Inawezekana huyo mchumba wako anahisi akikupa mambo utamkimbia. Na wewe pia inaonekana huna nia nae, ina maana ukitaka kuoa mpaka u sex ndio uoe? Pia ina wezekana asiwe na bikra ila akawa kajifunza kwa yule aliyemtoa alimpa penzi akamkimbia. Sasa wewe unatakiwa kumchumguza tabia na mienendo yake pamoja na tamaa na pia usafi. Hayo ndio ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
je amekwmbia sababu ya kufanya ivyo??kama ndio na unaona za maana we msubilie tu...ndege wako ya nini kumshikia manati ukishamuoa utafanya unayotaka mpaka mwenyewe utaomba likizo...
 
Mimi nitamuelewa kama akiniakikishia 100% yeye ni bikira la sivyo lazima kieleweke.
 
Inawezekana huyo mchumba wako anahisi akikupa mambo utamkimbia. Na wewe pia inaonekana huna nia nae, ina maana ukitaka kuoa mpaka u sex ndio uoe? Pia ina wezekana asiwe na bikra ila akawa kajifunza kwa yule aliyemtoa alimpa penzi akamkimbia. Sasa wewe unatakiwa kumchumguza tabia na mienendo yake pamoja na tamaa na pia usafi. Hayo ndio ya msingi.

Vizuri Mkuu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom