Mkuu unamaanisha nini?Safi sana, na wanapokuja muwe mnawatimizia ahadi zenu.
Maneno yasiwe mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃😃Ni huyo wa mbele mwenye shela..kwa wapenda picha
View attachment 1450739
Halafu ukute mtoa mada ana sura hii...
Cc
Jon Stephano
View attachment 1450855
😃😃😃mmeanza kucharuana tena kabla hajafika mlengwa?
😃😃😃😃😃Jifunze kuweka koma, nukta ili msomaji asipaliwe kha!
😃😃Utakuwa umeelewa vyema..
Sifungamani na upande wowote..
Hujakosea kabisa ndio mimi huyo, sasa nasakaje ndoa tena na hapo niko na shela jamani?
Unawashwa angle gani?
hahaha basi kumbe tutawezana kama anaomba msamaha ngoja nijitose kwake
Unamjua unamsikia?
Pale pale tena alianza kuwapa vipande wengine
Hahaa aone tu,afu sijaionaa itakua kachukua selfie mtandaoni huko, ni single father huyo.Haha ngoja akuone ulivoandika utajuta nakuambia, halafu mbona katuma selfie yake humu hebu itafute utaiona
Haha nimeona kaanzisha uzi wake huko aisee yule sio mwanamke sio kwa uchambuzi ule na yale maneno aliyotumia.Hahaa aone tu,afu sijaionaa itakua kachukua selfie mtandaoni huko, ni single father huyo.
Nilikutahadharisha mimi, shauri yako endelea😀😀😀, yule ni babuHaha nimeona kaanzisha uzi wake huko aisee yule sio mwanamke sio kwa uchambuzi ule na yale maneno aliyotumia.
Natangaza rasmi kusitisha huu mpango
jitahidi basi mambo yako yaendane na urembo wako,